Uchaguzi 2020 Tulia Ackson, Wana Mbeya tunasema fedha siyo za Rais fedha ni za umma, usitupotoshe

Kwanza Magufuli hawezi kumsikiliza. Magufuli hasikilizi wanawake weusi
 
mwenye jukumu la kuzielekeza nani kama sio Rais.
changanya gunz na betri usubir kuona kama itawaka hio tochi.mmezoeea upumbavu sana mim nakaa hapa kabwe nasema hatumtaki mtu ambaye hana hata namba ya rais
 
Maskini dr. Anawaza connection connection connection. Huko aliko bila shaka anasikitika kuyatamka.
 
Angalau umeleta uzi.
Ni ishara sindano zinauma..
 
mwenye jukumu la kuzielekeza nani kama sio Rais.
changanya gunz na betri usubir kuona kama itawaka hio tochi.mmezoeea upumbavu sana mim nakaa hapa kabwe nasema hatumtaki mtu ambaye hana hata namba ya rais
MUNGU kanisaidia sana kutokuandika nilichokuwa nataka kuandika.

Ila kuna watanzania bado wana upeo mdogo sana.
 
CCM wanatumia ujinga wa watanzania kutawala!! Lakini kizazi cha wajinga karibia kinaisha!! Hivyo ccm lazima itaanguka tu!! Watu wameanza kuelewa! Na kunawajinga wamepita kata ya kalobe wanasema chagua ccm kwa maendeleo, tuwajengee bara bara! ona bara bara zilivyokuwa mbaya kwa sababu mlichagua upinzani! Wakati wananchi tunajua kuwa! CCM inachelewesha maendeleo kwenye majimbo ya upinzani makusudi!! CCM mtaji wao ni ujinga! Na kizazi cha wajinga kinakarubia kuisha!! CCM lazima ijifie!!
 
Wasomi wengi wa kitanzania ni makaratasi tu ndio wamejaza kwenye mikoba hawana kabisa kitu kichwani, ndio maana wakenya wanatudharau sana.

Sasa huyu kwa nini tusiamini kuwa anatumia tu faida ya jinsia yake katika kujipalilia kimaisha? Hana maana kabisa huyu mwanamke.

Na hawa ndio wale wanaotegemea ile amri ya Magufuli kwa wakurugenzi itekelezwe ili waende bungeni hata kwa damu kumwagika. Bure kabisa.
 
CCM walibugi sana kumsimamisha huyu bibi pale Mbeya. Sugu atashinda mapema asubuhi.

NEC wasifanye ujinga wowote ili kuepusha uvunjivu wa amani na uharibifu wa mali. Kama Magu anampenda sana, asubiri kumpa Ubunge tena kama atashinda Urais
 
Mimi waga sikubaliani kabisa na hii dhana, barabara za nchi hii ni mbovu nchi nzima hata uende Chato hadithi ni ile ile.

Kuna majimbo ya uchaguzi katika nchi hii hayajawahi kuchagua mbunge wa upinzani toka nchi hii ipate uhuru lkn nenda leo uone yalivyo, utafikiri yako kwenye Dark Ages.

Kitakachoweza kuisadia nchi hii ni kuwa na mfumo wa utawala wa majimbo tu (Federal System of Government) ili wananchi wawe na sauti katika maswala yanayowahusu, lakini haya mengine eti mpaka impendezee rais, hamna kitu tutazidi kurudi tu nyuma kama treni ya Godegode.
 
Huyo Tulia hata haijui siasa, anasubiri kubebwa tu, halafu wakiambiwa wanabebwa na Tume na polisi wakali, naamini hata yeye anajua wazi hawezi kushinda Mbeya Mjini.
Tulia mbunge wetu

hahaha NAKWANZA NAANZA MWANZA SHINYANGA MPAKA MSOMA NAKAMA
UJAKOMA FIKA DIDOMA MBEYA NDIO SINA CHAKUSEMA WANAMBEYA WANAJUA MIMI NINOMA
Walijifanya miamba sasa wamenyooka.. Ni mwendo wa kupiga goti tuu
 
Ndio mwana sheria na naibu spika ambae hajui kazi na majukumu ya bunge..
Ajiangalie rangi yake kwanza kabla ya kugombea ubunge maana kwa ninavyo muona na rangi yake ni ngumu sana kupata fedha za kuwaletea maendeleo wana mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…