Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kumshinda sugu kwa kura halali imeshashindikina. Ukiona matumizi makubwa ya vyombo vya dola ujue ushindi halali hauwezekani.Sugu anawadanganya wavuta bangi wenzake, anawaaminisha hewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumshinda sugu kwa kura halali imeshashindikina. Ukiona matumizi makubwa ya vyombo vya dola ujue ushindi halali hauwezekani.Sugu anawadanganya wavuta bangi wenzake, anawaaminisha hewa
Ilimuandalia wapi?ninacho jua tulia alibebwa wazi wazi na hewezi shindwa tena Kwa uchaguzi huru na haki hapo ni mbeya nimezaliwa mbeya napajua palivyo siku zote ccm haijawahi pendwaTulia Trust Foundation inayomilikiwa na Tulia Akson ilifanya kazi kubwa sana kumuandalia mazingira ya ushindi spika wa bunge, kina mama walipata mikopo ya bila riba, vijana wa Mbeya walipewa bajaj na bodaboda za mikopo nafuu za kutosha
Tulia hakubebwa alijijenga vizuri mpaka leo Mbeya inamuimba vzr Tulia nenda kajionee
Tulia mgawa rushwa hapo mbeyaEti utafananisha na huyu anayelingushia miwani na suti mitandaoni. Waliokuwa wabunge wa chadema wanachosahau ni kuwa ccm ikiwa moja hakuna anayetoboa.
Wengi ukiangalia ushindi wao ulitokana na ccm kugawanyika kwenye kura za maoni. Miaka ile wengi walipita kwa rushwa. Watu wakachukia kwa watu muhimu kukatwa.
Wakapigia kura upinzani. Ndio siri ya ushindi upinzani. Sasa wao upinzani wanahisi walipita kwa sababu ya wafuasi wao ama wanapendwa sana.
Ndio maana Sugu anaongea kwa kutamba akidhani alipigiwa kura za haki kumbe ni kura za hasira kutoka ccm wenyewe.
Ye aombee tu ccm wagawanyike, ushindi wake utakuwa saa tatu asubuhi. Ila ccm ikiwa moja atandelea tu kuonyesha miwani na suti huku akizidi kuzeeka kwenye bustani za desderia hotel
Boss....Asisahau tu yule Bosi wake aliyempa hiyo jeuri, kwa sasa hayupo!
Tulia hakushinda 2020 , alipewa tuMbunge wa Mbeya mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson amesema lengo la kugawanya jimbo la Mbeya mjini ni kusogeza huduma kwa wananchi na mchakato huo sio wa Mbeya pekee. Dkt Tulia aliongea hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha wasafi leo asubuhi.
Tulia amesema ubunge wake yeye haijalishi kama jimbo litagawanywa ama halitagawanywa, amedai kama alimtoa mtu(Sugu) kata zikiwa 36 ataweza kumtoa kata zikiwa chache? Alihoji mbunge Tulia.
Tulia amesema anaona akijadiliwa na wao inawapa sifa na katika mambo ambayo amasema huwa anayafurahia ni kujadiliwa hivyo ameupenda mjadala unaoendelea.
Tulia amesema wanaosema watamfuata amefurahi, anataka wajipime na kama wanaona kina cha maji kinawatosha wamfate.
Tulia amesema hata zikibaki kata 36 anawafyeka
😂😂 Mvaa mitepesho na mvuta bangiNaunga mkono hoja , Tulia namkubali Sana huyo mother , ni ujinga wa Hali ya juu kukitoa kichwa kama Tulia alaf uingize mvaa mitepesho na mvuta bangi ,
[emoji1787][emoji1787]Sugu anawadanganya wavuta bangi wenzake, anawaaminisha hewa
[emoji2956][emoji2956]Tulia Trust Foundation inayomilikiwa na Tulia Akson ilifanya kazi kubwa sana kumuandalia mazingira ya ushindi spika wa bunge, kina mama walipata mikopo ya bila riba, vijana wa Mbeya walipewa bajaj na bodaboda za mikopo nafuu za kutosha
Tulia hakubebwa alijijenga vizuri mpaka leo Mbeya inamuimba vzr Tulia nenda kajionee
Tulia Trust imeharibu mazingira ya Mbeya. Hivi ni sahihi kweli Jiji la Mbeya kuwa na utitiri wa Bajaj kiasi kile. Inakadiriwa kuwa Mbeya Jiji kuna Bajaj takriban 10,000. Anayekopesha bajaja hizo ni ni Tulia kupitia Tulia Trust. Na hizo pesa alipewa na Magufuli.
Na ndiyo zina operate kama daladala. This is Bulshit
Nchi ina utoto mwingi sasa, Wananchi wanapaswa kuamka sasa na kuidai nchi yao na mamlaka ya uamuzi ibaki kwao.
Wanasiasa tunawatukuza saana na kuwafanya wafalme ilihali wao ni watumishi wetu na wanapaswa kuwajibika kwetu.
Tumewapa mamlaka wanasiasa na wote kugeuka kuwa machawa wao na kuleta ushabiki kama wa Simba na Yanga.
Wananchi wanapaswa kuchagua kwa kupima na sio ushabiki kama wa simba na yanga.
Kuhusu Magufuli unamsingizia tu Magufuli wa watu. Kama kikwazo kilikuwa Magufuli Magufuli kafariki lini na wapinzani wamefanya nini kupinga uchaguzi tangu Magufuli afarikiHata yeye mwenyewe Tulia Ackson anajuwa kuwa alitoa Tsh 100,000 kwa wajumbe wote 800 wa Mkutano wa Jimbo la Mbeya Mjini ambao ndiyo waliompitisha kugombea kwa Tiketi ya CCM.
Pamoja na kuwekewa kinda na hawara yake Magufuli bado alitumia kama Tsh 100 Milioni kupita kura za maoni za CCM
Kuhusu kwenda Mahakamani jibu ni kwamba kipindi cha Magufuli ilikuwa ni vigumu kwa vile Majaji na Mahakimu kwa kesi kama hiyo ingekuwa ni vigumu kushinda. Mahakama zilikuwa zinatishiwa na kufuata maelekezo ya mwendazake.
Kwenye ushindani wa haki Tulia hawezi kushinda Mbeya, anasema tu kufurahisha wasikilizaji
Wewe utakuwa na matatizo ya akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupwayula namna hiyo. Huwa anatoa hoja.Sugu anawadanganya wavuta bangi wenzake, anawaaminisha hewa
Bado wapo waliompa uspikaAsisahau tu yule Bosi wake aliyempa hiyo jeuri, kwa sasa hayupo!
Kwani sugu havuti bangi we chawaWewe utakuwa na matatizo ya akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupwayula namna hiyo. Huwa anatoa hoja.
Uwezekano mkubwa wewe ni mvuta bangi ndiyo maana unaamini kuwa karibia kila mtu anavuta bangi.
Kama ungekuwa na akili hata za kuvukia barabara tu usingeandika utumbo huo. Kuna ukomo wa kupeleka mashauri ya judicial review mahakamani.Kuhusu Magufuli unamsingizia tu Magufuli wa watu. Kama kikwazo kilikuwa Magufuli Magufuli kafariki lini na wapinzani wamefanya nini kupinga uchaguzi tangu Magufuli afariki
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Hivi umefika Mbeya ukaona ninachoandika kuhusu Bahaj? Tunahitaji Bajaj lakini Mbeya ni too much.Zingekua hazihitajiki zingeshapata kutu kwa kutokutumika mpaka sasa!
Kasumba ya kushabikia “mtu” badala ya kutoa msukumo wa kupata maendeleo imekwamisha mengi sana nchini!
Kwamba hizo Bajaj zingetolewa na mwingine zisingechafua mazingira?
Maumivu zaidi ni kwamba bado karibu miaka 2 mbele kabla ya uchaguzi mkuu lakini tayari wananchi mshaanza kuimba nyimbo za kura, kula na kuliwa?!
Mkijashtuka tayari 2026 and the cycle continues!!
Hawa Watoto hawajuhi hilo. Hapo tayari inajulikana nani aende wapiMatunda ya Maridhiano yameanza kuonekana.
Sugu na Tulia wameshasaini MoU kilichobaki ni heka heka za kunogesha siasa tu