Tulia Ackson: Wanaotaka Kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Wapime Kina Cha Maji

Sugu anawadanganya wavuta bangi wenzake, anawaaminisha hewa
Kumshinda sugu kwa kura halali imeshashindikina. Ukiona matumizi makubwa ya vyombo vya dola ujue ushindi halali hauwezekani.
 
Ilimuandalia wapi?ninacho jua tulia alibebwa wazi wazi na hewezi shindwa tena Kwa uchaguzi huru na haki hapo ni mbeya nimezaliwa mbeya napajua palivyo siku zote ccm haijawahi pendwa
Rushwa ili mbeba kesho yake majuto kesho yake kiza
 
Tulia mgawa rushwa hapo mbeya
Ccm wote wagawa rushwa ndio maana Hadi Leo tunapoteza ubora kutokana na wagawa rushwa
 
Acheni maneno. Pelekeni bange za sugu huko akawasambaratishe. Siasa siyo mibange
 
Tulia hakushinda 2020 , alipewa tu
 
Naunga mkono hoja , Tulia namkubali Sana huyo mother , ni ujinga wa Hali ya juu kukitoa kichwa kama Tulia alaf uingize mvaa mitepesho na mvuta bangi ,
😂😂 Mvaa mitepesho na mvuta bangi
 
[emoji2956][emoji2956]
 

Zingekua hazihitajiki zingeshapata kutu kwa kutokutumika mpaka sasa!

Kasumba ya kushabikia “mtu” badala ya kutoa msukumo wa kupata maendeleo imekwamisha mengi sana nchini!

Kwamba hizo Bajaj zingetolewa na mwingine zisingechafua mazingira?

Maumivu zaidi ni kwamba bado karibu miaka 2 mbele kabla ya uchaguzi mkuu lakini tayari wananchi mshaanza kuimba nyimbo za kura, kula na kuliwa?!

Mkijashtuka tayari 2026 and the cycle continues!!
 


Wananchi wako busy wanachambua soka kwanza.

Wanasiasa wetu wanazaliwa na kukulia ndani ya jamii zetu sisi wananchi!
Tabia zao na matendo yao ni matokeo ya jamii zetu sisi pamoja na wao.

Ni kweli mganga hajigangi ila yawezekana mchawi kujiroga.
 
Kuhusu Magufuli unamsingizia tu Magufuli wa watu. Kama kikwazo kilikuwa Magufuli Magufuli kafariki lini na wapinzani wamefanya nini kupinga uchaguzi tangu Magufuli afariki

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Sugu anawadanganya wavuta bangi wenzake, anawaaminisha hewa
Wewe utakuwa na matatizo ya akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupwayula namna hiyo. Huwa anatoa hoja.

Uwezekano mkubwa wewe ni mvuta bangi ndiyo maana unaamini kuwa karibia kila mtu anavuta bangi.
 
Ngoja tuone 2025 atakavyo dondoka mpaka achanganyikiwe nayale mawani atayavaa kwenye nyonyo badala ya machoni
 
Kitendo cha kukabodhi hatma ya nchi kwa wabunge ndio makosa watz tunafanya. Wanasiasa ni watu wenye roho mbaya sana. Muda huangalia wao watanufaika nini. Na si maslahi ya nchi.
Badala kupunguza majimbo wao wanaongeza ili waendelee kuwepo tu

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa na matatizo ya akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupwayula namna hiyo. Huwa anatoa hoja.

Uwezekano mkubwa wewe ni mvuta bangi ndiyo maana unaamini kuwa karibia kila mtu anavuta bangi.
Kwani sugu havuti bangi we chawa
 
Kuhusu Magufuli unamsingizia tu Magufuli wa watu. Kama kikwazo kilikuwa Magufuli Magufuli kafariki lini na wapinzani wamefanya nini kupinga uchaguzi tangu Magufuli afariki

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Kama ungekuwa na akili hata za kuvukia barabara tu usingeandika utumbo huo. Kuna ukomo wa kupeleka mashauri ya judicial review mahakamani.
 
Hivi umefika Mbeya ukaona ninachoandika kuhusu Bahaj? Tunahitaji Bajaj lakini Mbeya ni too much.

Nashukuru alipokuja RC mpya Homera amesitisha usajili wa Bajaj mko wa Mbeya
 
Matunda ya Maridhiano yameanza kuonekana.

Sugu na Tulia wameshasaini MoU kilichobaki ni heka heka za kunogesha siasa tu
Hawa Watoto hawajuhi hilo. Hapo tayari inajulikana nani aende wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…