rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuπ€π€π€ππππ
View attachment 3172327
Kwamba MO Dewji hujawahi kumuona akijipostJamani mimi sijui ni mshamba au ninamaarifa kidogo, huwa napata sana shida kuona kiongozi mkubwa kama Tulia Acksoni, Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na spika wa Dunia, mtu anae ongoza maspika wote wa Dunia hii. Najiuliza anapata wapi muda wa kujipost FaceBook.
Wewe kama mwasheria ungekuwa anajikeep bize katika kupitia sheria, kanuni na mwiongozo ya bunge la Dunia, pamoja na la Tanzania.
Dhahabu inathamani sana ni kwa sbb ni adimu, huwa haipatika mara kwa mara, thamani ya mtu huwa inaongezeka kama watu huwa hawakuoni mara kwa mara.
NB: Wewe ni icon wa Tanzania Duniani, nakushauri punguza kujipost. Thamani Yako inashuka katika jamii ya kitanzania na Dunia kwa ujumla.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Au sioHuyo sio Kiongozi,
Ilikuwa lazima utumie mfano wa Msukuma mkuu? Sijapendezwa kabisa! πWao wanasema hakuna mwaisa mshamba lkn huyu ni mshamba kama msukuma wa igwamanoni
Una uhakika gani,?Ni yake kabisa mkuu
Unamfanimisha trumpo na Tulia, upo serious?Kwani shida iko wapi akipost. Rais wa dunia muda mwingi anakuwa mtandaoni mbona hamumpi hayo majukumu mengine aondoke mtandaoni?
Hata account nyingi za Waheshimiwa zinaendeshwa na vijana wao au watu wanaombatana nao muda wote wawapo kwenye shughuli mbalimbali
Angalia paragraph ya kwanza kwenye andiko lako halafu uliza swali lakoUnamfanimisha trumpo na Tulia, upo serious?