Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Kama Ni Maisha binafsi kwanini ayalete public? Namaanisha hadharani. Na kiongozi Hana binafsi, Kwa lolote yeye analolifanya anawajibika Moja Kwa Moja Kwa jamii yote Sasa kama anaona bado anataka Aishi kibinafsi anapaswa achague kuwa kiongozi ili afate miiiko yake ama abaki mtu wa kawaida Na Maisha yake ili aendelee kufanya binafsi hata siku akiamua kulewa Hadi kunya Barabarani hayupo wa Kuja kuhojiJapo simpendi.
ILA HAYO NI MAISHA BINAFSI YA mtu