Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

Hakuna tatizo lolote, anapost picha za kawaida tu na bado ni kijana...acha wivu...
 
Account manager anafanya yake
 
Kwamba MO Dewji hujawahi kumuona akijipost
 
Haya mambo yana umri mjomba, mambo ya teknolojia kwa hawa wazee ni changamoto, wengi hawajui watumie vipi
 
Aweke hata za bila nguo maana tabia ya Mtu haijifichi huwa inajionyesha kwa matendo ya Mtu husika.
 
Kwani shida iko wapi akipost. Rais wa dunia muda mwingi anakuwa mtandaoni mbona hamumpi hayo majukumu mengine aondoke mtandaoni?

Hata account nyingi za Waheshimiwa zinaendeshwa na vijana wao au watu wanaombatana nao muda wote wawapo kwenye shughuli mbalimbali
 
Unamfanimisha trumpo na Tulia, upo serious?
 
Kwa kuangalia hiki anachokifanya Huyo spika wenu kinatoa picha kuubwa ya alivyo ndani Na nje. Ni kiashiria tosha cha kizazi hiki Na kiasi kikubwa hawajielewi katika nafasi zao, kiufupi wengi wao Ni malimbukeni Na hawajitambui haijalishi kasoma vitabu vingapi, Shahada Na madarasa. Kizazi hiki si Kwa walio viongozi tu hata Kwa wasio viongozi suala la maadili Na miiko kwao Ni Sawa Na kumpigia mbuzi wimbo wa kidalipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…