The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ccm ni genge hatari ,fikiria mwanasheria johari amemwacha KIZIGHA aende dodomaKuna Mbuyu Mwingine unaanguka soon
B
Chuchu SoundKuna Mbuyu Mwingine unaanguka soon
B
Mbona Bado, Mwenzie Polepole wamemteka na kumuua
Kama yuko hai ashukuru Mungu
[/QUOTE
Anamkumbuka MUNGU wakati wa shida kipindi yupo kwenye mamlaka ya kuuwa watanzania alikuwa anatukana matusi na kejeli
Na awe makini kweli kweliMbona Bado, Mwenzie Polepole wamemteka na kumuua
Kama yuko hai ashukuru Mungu
Nouma sanashetani hana ushirika wala rafiki, wanamtandao sasa hivi wako standby wanamchungulia wapite nae kama kipanga
HatariKuna Mbuyu Mwingine unaanguka soon
B
Uongo mwingine huuKuna Mbuyu Mwingine unaanguka soon
B
Tumeshuhudia kila mwezi baada ya uchaguzi ccm wanazikana, hatuombei mabaya ila kama wanakufa ni sawa tu maana waliuwa watu bila hatia..Uongo mwingine huu
Takataka ya mwisho hii!Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae.
Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
View attachment 3567493
Anaungulia moyoniMsikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae.
Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
View attachment 3567493
Aligoma kuongelea suala la utekaji bungeni, akitekwa ingependeza zaidi ili iwe funzo kwa spika zungu😃Mbona Bado, Mwenzie Polepole wamemteka na kumuua
Kama yuko hai ashukuru Mungu