Tulia kashaanza kutoa mlio tumsamehe au tumwache aisome namba?

Tulia kashaanza kutoa mlio tumsamehe au tumwache aisome namba?

Ndio maana tunasema kuna udini sana kwenye vita ya kichinichini inayoendeshwa na wagalatia
Kubanwa ndio unaanza kuimba kwaya
Mbona msomali au januari hatuwaoni kusoma dua kila saa?
đźš®
Mtu anakuwaje mdini kwa kuimba wimbo wa dini yake??
Ulitaka aimbe qaswida?

Wewe ndiye mdini wahed, kila jambo unazusha uongo wa udini
 
kuna mtu anaitwa kwekite akianguka na mtandao kwishnei
 
Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae.

Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.

Huyo Bwana anamkumbuka baada ya kutemwa kabla ya hapo hakutambua uwepo wake? Si amuimbie aliyekuwa bwana wake wakati huo?
 
Ndio maana tunasema kuna udini sana kwenye vita ya kichinichini inayoendeshwa na wagalatia
Kubanwa ndio unaanza kuimba kwaya
Mbona msomali au januari hatuwaoni kusoma dua kila saa?
Huyo amekuwa target kwa sasa, January haukumuona akifululiza kanisani na mama yake kipindi kile kabla haijawa wazi who will represent CCM? Huyu kuimba kwaya hakuhusiani na udini kwani mashambulizi mengi anayapata kutoka kwa Wagalatia wenzake japo wawindaji na wauaji wengi wao na top guns ni Kobazi.
 
Huyu kwani si sehemu ya wana mtandao?
Nani alimtoa chuoni na kumpeleka mahakama sijui kuu au ya Rufani?
 
Back
Top Bottom