Tulia kashaanza kutoa mlio tumsamehe au tumwache aisome namba?

Tulia kashaanza kutoa mlio tumsamehe au tumwache aisome namba?

Ndio maana tunasema kuna udini sana kwenye vita ya kichinichini inayoendeshwa na wagalatia
Kubanwa ndio unaanza kuimba kwaya
Mbona msomali au januari hatuwaoni kusoma dua kila saa?
 
Achimwenealipitisha sheria kandamizi za kuuliwa na kujeruhiwa watu kwa kisingizio cha kulinda usalama wa taifa ambao ni usalama wa wezi ...kitakuramba
 
Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae.

Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.

View attachment 3567493
Huyu mshenzi alikataa Bunge lisijadili utekaji na mauaji kwa wakosoaji wa serikali, huyu si wa kumhurumia hata wakitaka kumJenista poa tu
 
Gospel flani ambayo ina taarab ndani yake.. Na bado.
 
Mbona Bado, Mwenzie Polepole wamemteka na kumuua

Kama yuko hai ashukuru Mungu

Nimekua nikitafakari kwa kina sababu iliyofanya hata wawili hawa waliokuwa marafiki ghafla wamekuja kuwa maadui wakubwa! Kumbukeni kuwa Tulia akiwa spika wa bunge ndio alikuwa kinara wa kutetea na kupitisha mipango haramu ya kuhujumu nchi kama vile mikataba ya Dp World na ule wa yule muhindi fisadi ADANI! Mara baada ya ufisadi wao kufanikiwa na mikataba husika kupitishwa TULIA ndio alikuwa dalali wa kwenda kukusanya mgao wao [ Maokoto] kutoka DpWorld kule Morocco ambako alikwenda kwa kutumia ndege ya RAIS!!

Mara baada ya maokoto yao kupatikana ndio tukaanza kuona jina la TULIA likitupwa nje kwenye kugombea kuendelea kuwa SPIKA bila maelezo yeyote totauti na utaratibu wa huko nyuma ambako maspika walihudumia zaidi ya kipindi kimoja!!
Hapa machale yangu yananicheza kushuku kuwa kuna mfarakano uliotokea katika kugawana yale mafungu yao ya RuSHWA ; ninawasiwasi kuwa Tulia aliwapiga panga wenzie akiwemo Samia na sasa ndio wameamua kumshuhulikia kuuanzia yeye mwenyewe na sasa wanammaliza kupitia kwa mumewe!!

Samia na genge lake hivi sasa wanahaha kwani mali zao walizoficha huko Dubai hazina usalama kutokana na vurugu zinazoendelea huko!! Hawana uhakika kuwa hata hizo fecha za dhahabu walizopata kutoka kwa MAKTOUM zina usalama hivyo wanahangaika kutaka kuzihamisha lakini hawajui wazipeleke wapi!!

Mnakumbuka pale serikali ilipotangaza kuwa wanauza hazina ya dhahabu lakini baada ya hapo hawakusema wameuza kiasi gani na wamepata kiasi gani kwa fedha za kigeni mpaka walipokuja kutangaza kuwa wamesitisha kuuza dhahabu zaidi kwa sabau ya bei ya dhahabu kushuka!!!

Je serikali imeweka wazi kiasi walichopata kutokana na uuzaji wa hiyo dhahabu kwa Sultan MAKTOUM? Kwanini inaficha wananchi wasijue kiasi walichopata?
 
Nimekua nikitafakari kwa kina sababu iliyofanya hata wawili hawa waliokuwa marafiki ghafla wamekuja kuwa maadui wakubwa! Kumbukeni kuwa Tulia akiwa spika wa bange ndio alikuwa kinara wa kutetea na kupitisha mipango haramu ya kuhujumu chi kama vile mikataba ya Dp World na ule wa yule muhindi fisadi ADANI! Mara baada ya ufisadi wao kufanikiwa na mikataba husika kupitishwa TULIA ndio alikuwa dalali wa kenda kukusanya mgao wao kutoka DpWorld kutoka kule Morocco ambako alikwenda kwa kutumia ndege ya RAIS!!

Mara baada ya mafungu Yao kupewa ndio tukaanza kuona jina la TULIA likitupwa nje kwenye kugombea kuendelea kuwa SPIKA bila maelezo yeyote totauti na utaratibu wa huko nyuma ambako maspika walihudumia zaidi ya kipindi kimoja!!
Hapa machale yangu yananicheza kuwaitíes kuna mfarakano uliotokea katika kugawana yale mafungu yao ya RuSHWA ; ninawasiwasi kuwa Tulia aliwapiga panga wenzie akiwemo Samia na sasa ndio wameamua kummaliza kuuanzia yeye na sasa wanammaliza kupitia kwa mumewe!!

Samia na genge lake hive sasa wanahaha kwani mali zao walizoficha huko Dubai hazina usalama kutokana na vurugu zinazoendelea huko!! Hawana uhakika kuwa hata hizo fecha za dhahabu walizopata kutoka kwa MAKTOUM zina usalama hivyo wanahangaika kutaka kuzihamisha lakini hawajui wazipeleke wapi!!

Mnakumbuka pale semrikali ilipotangaza kuwa wanauza hazina ya dhahabu lakini baada ya hap hawakusema wameuza kiasi gani na wamepata kiasi gani kwa fedha za kigeni mpaka walipokuja kutangaza kuwa wamesitisha kuuza dhahabu zaidi kwa sabau ya bei ya dhahabu kushuka!!!

Je serikali imeweka wazi kiasi walichopata kutokana na uuzaji wa hiyo dhahabu kwa Sultan MAKTOUM?
Watakuwa wamedhulumiana mgao wa DP World
 
Rango-disneyscreencaps_com-1403.webp
 
Fisiem ni Fisiem tu
Kazi ni kipimo cha utu
 
Apambane na hali yake, ataimba vipambio vyake hadi apauke. Hiyo ndiyo CCM mtandao. Vichwa vya Mwendazake vyote vinaliwa kimoja baada ya kingine - Prof anapotoa chozi kisa eti kapewa ka uwaziri aisee Dunia ina maajabu hii.
 
Keshaanza kuimba nyimbo za mipasho ila hawa watu wakiwa na vyeo wanakuwaga na roho za kinyama
 
Back
Top Bottom