antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
🚮Ndio maana tunasema kuna udini sana kwenye vita ya kichinichini inayoendeshwa na wagalatia
Kubanwa ndio unaanza kuimba kwaya
Mbona msomali au januari hatuwaoni kusoma dua kila saa?
Mhhh!Kuna Mbuyu Mwingine unaanguka soon
B
Huyo Bwana anamkumbuka baada ya kutemwa kabla ya hapo hakutambua uwepo wake? Si amuimbie aliyekuwa bwana wake wakati huo?Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae.
Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
Watu hawa ni mafundi wa unafiki wanapaswa kukamatwa na kutiwa fimbo za matakoni.Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae.
Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
Huyo amekuwa target kwa sasa, January haukumuona akifululiza kanisani na mama yake kipindi kile kabla haijawa wazi who will represent CCM? Huyu kuimba kwaya hakuhusiani na udini kwani mashambulizi mengi anayapata kutoka kwa Wagalatia wenzake japo wawindaji na wauaji wengi wao na top guns ni Kobazi.Ndio maana tunasema kuna udini sana kwenye vita ya kichinichini inayoendeshwa na wagalatia
Kubanwa ndio unaanza kuimba kwaya
Mbona msomali au januari hatuwaoni kusoma dua kila saa?
TULIA ALITUNGA SHERIA ZOTE MBOVU
Kuna Mbuyu Mwingine unaanguka soon
B
Mkuu Acha kubahatisha kutabiri. Mtaje basiKuna Mbuyu Mwingine unaanguka soon
B
Hataacha vimelea?kuna mtu anaitwa kwekite akianguka na mtandao kwishnei
Anagharamiwa na serikali mpaka anakufa. Vipi wewe na yeye Nani takataka?Takataka ya mwisho hii!
Emma Nchi auKuna Mbuyu Mwingine unaanguka soon
B
Hao ni African stars a.k.a Twanga pepetaChuchu Sound
Shoka Moja Mbuyu Chini
Kamanda Banza Stone