Tulia na mambo ya Bandari

Achana na takataka hili
 
Wawatoe wezi/watatue hizo changamoto zinachelewesha mizigo bila shaka mapato yataongezeka. Wezi/changamoto zisiwe nafsi kwao kutekeleza mkataba ambao uma wa Watnzania hawautaki.
Kinachofanyika ni uhuni tu ili waalalishe wanachotaka, kwani mizigo mingine ishushwa Tanga na Mtwara hiyo foleni ya meli itakuwepo Dar? Hivi kweli Miaka 60 hawajawahi kuwa na uwezo wa kujenga bandari 2?
 
Akili yake iko chini sana.
Ana Akili kubwa sana ndio maana akaweza kuwa mhadhiri pale chuo kikuu !!
Ila ataonekana Akili zipo chini kwa wale ambao amegusa maslahi yao kwa namna moja au nyingine !!
Na hivyo ndivyo ilivyo kwa Ground siku zote !!! 🙏🙏🙏
 
Uyu sijui anajionaje ,ogopa sana mtu kalia nafasi kubwa kwa bahati tu, uyu ni spika wa ajabu sana
Na waliokalia nafasi kubwa kwa bahati kama yeye ndio hao hao wenye maamuzi kuhusu hatma ya taifa letu...masikini Tanzania. CRY MY BELOVED COUNTRY!
 
Ana Akili kubwa sana ndio maana akaweza kuwa mhadhiri pale chuo kikuu !!
Ila ataonekana Akili zipo chini kwa wale ambao amegusa maslahi yao kwa namna moja au nyingine !!
Na hivyo ndivyo ilivyo kwa Ground siku zote !!! 🙏🙏🙏
Akili ya darasani na nje ya darasa vitu viwili tofauti, sasa spika mzima ndio wakusema watu wana mdomo, sio adhi yake, maneno hayo tumezoea uswahilini.
 
Hii issue ya bandari inazidi kuwafanya kuonekana wajinga, wamekosa majibu ya maswali wanayoulizwa sasa wameamua kuwa vichaa, wanaropoka tu, werevu tunaendelea kuwatazama tuone mwisho wao...

Ule mkataba wa bandari ni mbovu lazima wauvunje, hakuna story zaidi ya hapo.
 
Kwamba Spika wa Bunge, ambalo moja ya majukumu yake ni kuisimamia Serikali, kwa niaba ya Wananchi, anakiri kuwa Serikali imeshindwa kudhibiti wizi bandarini, hivyo basi tuwape DP World kuendesha?

Je, kama Serikali inashindwa kudhibiti TPA, taasisi yake, kuendesha kwa ufanisi bandari, itaweza kuidhibiti DP World? Hoja ya kijinga.

Aombe DP world iendeshe bunge pia.
 
Mara ngapi Bunge linatoa maazimio kwa serikali kuwawajibisha watendaji wabadhirifu na serikali haichukui hatua stahiki?
Mkuu, kwa hiyo wanatumia ile theory ya kwamba ukiwashindwa jiunge nao?🤣
 
Je, kama Serikali inashindwa kudhibiti TPA, taasisi yake, kuendesha kwa ufanisi bandari, itaweza kuidhibiti DP World? Hoja ya kijinga.

Aombe DP world iendeshe bunge pia.
If only idiocy was painful, people like the Speaker would be in ICU writhing in uncontrollable pain!
 
Binafsi nimetafsiri maneno yake kama matusi kwa watanzania..!! Amesema wengine wanauliza kwani hao wezi wamewekwa na nani, anasema wezi waliowekwa ni kama wewe tu, hata wewe ungewekwa ungekuwa hivyohivyo..!!! Hii maana yake watanzania wote ni wezi akiwemo yeye, hakuna anayeweza kuteuliwa kuendesha bandari halafu asiibe..!! Maana yake hata yeye Tulia akiteuliwa yatakuwa yale yale yale tu. Kwa maneno yale, hata akina FaizaFoxy , Pascal Mayalla, Lord denning, Lucas mwashambwa, hydroxo, ChawaWaMama, Covax, passion_Amo, makwega7, butron, Alishani, Andrue, Mpangawangu, Sir John Roberts, et el nao wakiteuliwa wataiba tu..!! Hii maana yake, hata wale wanaounga mkono mkataba wa DPW nao ni wezi tu..!! Kwahiyo, kuna watanzania wanashangilia na kuwasema TEC kwa kuupinga mkataba wa DPW, lakini wanasahau kuwa Tulia kasema wao ni wezi, maana hata wakiteuliwa wataiba tu..!!

Akili kumkichwa
 
Kwa hiyo ana maanisha na yeye ni mwizi , maana yupo pale
 
That Mheshimiwa is completely finished. Never, never she will not come back to the next Parliament 2025. Believe me and time will tell.
 
Huyu mwamamke ni mmojawapo wa maspika wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii.
Ni mnafiki
Ni mzandiki
Ni mjivuni
Ni mpumbavu.

Ndio maana hapa alirundikiwa kopi za waraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…