Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao?
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"