Labda watawekwa mbali na maeneo ya pesa ! π ππHawa watu sijui wanatumia akili za wapi, kwani meli zingine zikishusha Tanga, nyingine Mtwara na nyingine Dar hiyo foleni ya meli itakuwepo Dar?. Hapo wanasema dpw atawaajiri hao wafanyakazi waliopo sasa je ni mwekezaji gani anapenda kuajiri wezi?
She will very much come back again to the next Parliament 2025. Mark my words !! ππThat Mheshimiwa is completely finished. Never, never she will not come back to the next Parliament 2025. Believe me and time will tell.
Kumbe huyu ni mpuuzi kiasi hikiHii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao?
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Hii ni spika ya redioHii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao?
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Hivi bado mama anaupiga mwingi?
Mpuuzi sana huyuUyu sijui anajionaje ,ogopa sana mtu kalia nafasi kubwa kwa bahati tu, uyu ni spika wa ajabu sana
Huyu mtu ni hatari sana kwa mstakabali wa nchi hii.Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao?
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Hujawahi kufundishwa na mhadhiri ukajiuliza mara mbili mbili huyu vipi?Ana Akili kubwa sana ndio maana akaweza kuwa mhadhiri pale chuo kikuu !!
Ila ataonekana Akili zipo chini kwa wale ambao amegusa maslahi yao kwa namna moja au nyingine !!
Na hivyo ndivyo ilivyo kwa Ground siku zote !!! πππ
tulia ana nini na bandari?Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao?
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Huyu dada anakibri balaaUyu sijui anajionaje ,ogopa sana mtu kalia nafasi kubwa kwa bahati tu, uyu ni spika wa ajabu sana
Unachekesha, Serikali ipi isimammiwe na nani? Serikali ya ambayo Rais ndiye mwenyekiti wa ccm inayounda serikali. Amabyo spika anaingia vikao vya juu vya ccm kwa wadhifa wake. Hapo anaonyesha Bunge ndilo linasimammiwa na serikali na siyo kinyume chake.Spika anakiri hadharani kuwa Bunge limeshindwa kuisimamia serikali
Hakika nacheka mwenyeweπ€£Unachekesha, Serikali ipi isimammiwe na nani? Serikali ya ambayo Rais ndiye mwenyekiti wa ccm inayounda serikali. Amabyo spika anaingia vikao vya juu vya ccm kwa wadhifa wake. Hapo anaonyesha Bunge ndilo linasimammiwa na serikali na siyo kinyume chake.