Tulia ni mali kwa Jimbo la Mbeya hebu ujivunie na turinge naye

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
331
Reaction score
416
Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya mimi siwezi kueleza nikaeleweka vizuri.

Kwa sasa alama anazozitengeneza Dr. Tulia Ackson hususani kwa Jiji la Mbeya kwa kweli anavunja rekodi.

Kutuletea maonesho ya Nane Nane ya kimaifa Mbeya ambayo yatakuwa yanafanyika kila mwaka ni jambo kubwa sana kwa wana Mbeya. Binafsi nanufaika Kwa kuuza kitimoto wengi, kuku wengi, viazi mviringo elimu ya kilimo na mengine mengi!

Nikipita pita mtaani naona Barabara zinachongwa vizuri, kuna magreda kila kona hasa maeneo ya Mwanjelwa, Block Q, Ilemi, Iganzo, Ileya, nk. Mbeya kweli baada ya 2035 tukiwa na huyu huyu Tulia Mbeya itakuwa Jiji la Ukweli.

Wana Mbeya huyu ndiye tulikuwa tunamngoja hakuna mwingine. Wana Mbeya tunamkubali na kumpenda mbunge wetu hasa Kwa ushirikiano anaotoa Kwa watu hasa kwenye musiba bila kujali ni tajiri au maskini. Wana Jiji la Mbeya tunataka Nini?

Binafsi nakupongeza Tulia Ackson . Hakika Mbeya umeikamata vilivyo, Mbeya inakukubali. Hunijui sikujui lakini nakupenda bureeeee.
 
Chawa at work
Asante, mkuu lakini Mimi ni mkulima tu Sina connection ya kuwa chawa. Naishi jijini naona kazi njema ya TULIA. Suala la bandari siyo issue Kwa Wana Mbeya. Ukienda huko LYOTO, IGANZO na maeneo mengine hawaelewi uhusiano wao na hiyo bandari wao wanataka Barabara mzuri, maji safi.,...
 
Tulia anatakiwa kuondoshwa kwa kura 2025 ili apate ubunge wa kuteuliwa tu kama wakitaka. mwabukusi chukua jimbo la uyole, sugu chukua mjini, kwisha.
Mwabukusi namkubali, Jimbo lake ni BUSOKELO huko tunamkubali sana. FRED Hana nguvu ya kumshinda BON bila shaka atamwachia. Kwa Sugu Mbeya asahau. Mbeya imeshastarabika haiewezi kurudi zama za kelele za wavuta bangi.
 
Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha wa watu hasa kwenye musiba bila kujali ni tajiri au maskini. Wana Jiji la Mbeya tunataka Nini?

Binafsi nakupongeza Tulia Ackson . Hakika Mbeya umeikamata vilivyo, Mbeya inakukubali. Hunijui sikujui lakini nakupenda bureeeee.
Naunga mkono.
Sasa vitajitokeza vijitu sugu, kazi yao ni kuongoza maandamano Mwanjelwa na kuvunja magari ya wananchi.
Tulia tumeona tofauti.
 
Asante, mkuu lakini Mimi ni mkulima tu Sina connection ya kuwa chawa. Naishi jijini naona kazi njema ya TULIA. Suala la bandari siyo issue Kwa Wana Mbeya. Ukienda huko LYOTO, IGANZO na maeneo mengine hawaelewi uhusiano wao na hiyo bandari wao wanataka Barabara mzuri, maji safi.,...
Kuna watu wanavuta bangi ya Mwakaleli.
Wanambeya hatutaki uanaharakati, tunataka maendeleo.
 
Sugu asituangushe wapo pia wengi wenye nguvu za kisiasa

Hata mdude huyo wa chadema, wapo wale waliosimama na suala la bandari.
 
Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya mimi siwezi kueleza nikaeleweka vizuri.

Kwa sasa alama anazozitengeneza Dr. Tulia Ackson hususani kwa Jiji la Mbeya kwa kweli anavunja rekodi.

Kutuletea maonesho ya Nane Nane ya kimaifa Mbeya ambayo yatakuwa yanafanyika kila mwaka ni jambo kubwa sana kwa wana Mbeya. Binafsi nanufaika Kwa kuuza kitimoto wengi, kuku wengi, viazi mviringo elimu ya kilimo na mengine mengi!

Nikipita pita mtaani naona Barabara zinachongwa vizuri, kuna magreda kila kona hasa maeneo ya Mwanjelwa, Block Q, Ilemi, Iganzo, Ileya, nk. Mbeya kweli baada ya 2035 tukiwa na huyu huyu Tulia Mbeya itakuwa Jiji la Ukweli.

Wana Mbeya huyu ndiye tulikuwa tunamngoja hakuna mwingine. Wana Mbeya tunamkubali na kumpenda mbunge wetu hasa Kwa ushirikiano anaotoa Kwa watu hasa kwenye musiba bila kujali ni tajiri au maskini. Wana Jiji la Mbeya tunataka Nini?

Binafsi nakupongeza Tulia Ackson . Hakika Mbeya umeikamata vilivyo, Mbeya inakukubali. Hunijui sikujui lakini nakupenda bureeeee.
Speaker wa Mchongo anapojificha kwenye Fake ID
 
Back
Top Bottom