masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Hamchangii maendeleo ya Mbeya.Speaker wa Mchongo anapojificha kwenye Fake ID
Domo tu.
Na wengi wenu mnasishi nyumba kama vinanda vya mkaa.
Kwa domo tu, Mbeya hatujambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamchangii maendeleo ya Mbeya.Speaker wa Mchongo anapojificha kwenye Fake ID
Sisi tunalipa Kodi, kazi ya Kuleta Maendeleo ni ya SerikaliHamchangii maendeleo ya Mbeya.
Domo tu.
Na wengi wenu mnasishi nyumba kama vinanda vya mkaa.
Kwa domo tu, Mbeya hatujambo.
Aliyemweka kafariki Jimbo liko huruTulia kawa tuli mbele ya mafisadi, rejerea issue ya mkataba wa DP world
Kwa nini kuna haja ya kusujudia watu wanapofanya kazi ambazo zinatakiwa wafanye? Kwa nini usiwasififie wana Mbeya?Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya mimi siwezi kueleza nikaeleweka vizuri.
Kwa sasa alama anazozitengeneza Dr. Tulia Ackson hususani kwa Jiji la Mbeya kwa kweli anavunja rekodi.
Kutuletea maonesho ya Nane Nane ya kimaifa Mbeya ambayo yatakuwa yanafanyika kila mwaka ni jambo kubwa sana kwa wana Mbeya. Binafsi nanufaika Kwa kuuza kitimoto wengi, kuku wengi, viazi mviringo elimu ya kilimo na mengine mengi!
Nikipita pita mtaani naona Barabara zinachongwa vizuri, kuna magreda kila kona hasa maeneo ya Mwanjelwa, Block Q, Ilemi, Iganzo, Ileya, nk. Mbeya kweli baada ya 2035 tukiwa na huyu huyu Tulia Mbeya itakuwa Jiji la Ukweli.
Wana Mbeya huyu ndiye tulikuwa tunamngoja hakuna mwingine. Wana Mbeya tunamkubali na kumpenda mbunge wetu hasa Kwa ushirikiano anaotoa Kwa watu hasa kwenye musiba bila kujali ni tajiri au maskini. Wana Jiji la Mbeya tunataka Nini?
Binafsi nakupongeza Tulia Ackson . Hakika Mbeya umeikamata vilivyo, Mbeya inakukubali. Hunijui sikujui lakini nakupenda bureeeee.
Wajinga kama ninyi ndio hamjui kuwa kodi zenu ndio zinajenga barabara, majengo ya hadhi na mendeleo mengi katika mikoa ya watu wenye akili za kuwazidi.Sisi tunalipa Kodi, kazi ya Kuleta Maendeleo ni ya Serikali
Sisi Maendeleo yetu ni Level ya Familia zetu
Acha Ufwala
kwamba makuwadi ya warabu yakiongozwa na kuwadi kuu tulia ndio mnasema hamumkubali sugu kwan lini nyie makuwadi ya warabu mlimkubali sugu by the way sugu hategemei kura za makuwadi ya warabu nyie jiandaen kwenda Dubai kwa mabwana zenu mliyoyahonga bandari.Mwabukusi namkubali, Jimbo lake ni BUSOKELO huko tunamkubali sana. FRED Hana nguvu ya kumshinda BON bila shaka atamwachia. Kwa Sugu Mbeya asahau. Mbeya imeshastarabika haiewezi kurudi zama za kelele za wavuta bangi.
Mbona we binafsi unaonekana mvuta bangi kwa hii commentKuna watu wanavuta bangi ya Mwakaleli.
Wanambeya hatutaki uanaharakati, tunataka maendeleo.
Mkisha vuta bangi zenu za Mwakaleli na kutelemka milima hadi Mwanjelwal, basi ndio mnafikiri mmeiona dunia.Mbona we binafsi unaonekana mvuta bangi kwa hii comment
Acha kuilinganisha hiyo takataka na Mbeya Mjini. Huyo kinyago aliwekwa na Magufuli, period.Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya mimi siwezi kueleza nikaeleweka vizuri.
Kwa sasa alama anazozitengeneza Dr. Tulia Ackson hususani kwa Jiji la Mbeya kwa kweli anavunja rekodi.
Kutuletea maonesho ya Nane Nane ya kimaifa Mbeya ambayo yatakuwa yanafanyika kila mwaka ni jambo kubwa sana kwa wana Mbeya. Binafsi nanufaika Kwa kuuza kitimoto wengi, kuku wengi, viazi mviringo elimu ya kilimo na mengine mengi!
Nikipita pita mtaani naona Barabara zinachongwa vizuri, kuna magreda kila kona hasa maeneo ya Mwanjelwa, Block Q, Ilemi, Iganzo, Ileya, nk. Mbeya kweli baada ya 2035 tukiwa na huyu huyu Tulia Mbeya itakuwa Jiji la Ukweli.
Wana Mbeya huyu ndiye tulikuwa tunamngoja hakuna mwingine. Wana Mbeya tunamkubali na kumpenda mbunge wetu hasa Kwa ushirikiano anaotoa Kwa watu hasa kwenye musiba bila kujali ni tajiri au maskini. Wana Jiji la Mbeya tunataka Nini?
Binafsi nakupongeza Tulia Ackson . Hakika Mbeya umeikamata vilivyo, Mbeya inakukubali. Hunijui sikujui lakini nakupenda bureeeee.
Aah! Unanichekesha mkuu, hii siyo fake ID ya speaker. Ni Mimi mkulima, mtu wa kawaida kabisa, mpiga kura Jimbo la Mbeya mjini.Speaker wa Mchongo anapojificha kwenye Fake ID
Tunaotaka Maendelea ya Mkoa wa Mbeya tunaenda na Tulia ila wanaotaka makelele ya kuimbiwa mistari waende na yule mjinga Sugu aka zilipendwa.Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya mimi siwezi kueleza nikaeleweka vizuri.
Kwa sasa alama anazozitengeneza Dr. Tulia Ackson hususani kwa Jiji la Mbeya kwa kweli anavunja rekodi.
Kutuletea maonesho ya Nane Nane ya kimaifa Mbeya ambayo yatakuwa yanafanyika kila mwaka ni jambo kubwa sana kwa wana Mbeya. Binafsi nanufaika Kwa kuuza kitimoto wengi, kuku wengi, viazi mviringo elimu ya kilimo na mengine mengi!
Nikipita pita mtaani naona Barabara zinachongwa vizuri, kuna magreda kila kona hasa maeneo ya Mwanjelwa, Block Q, Ilemi, Iganzo, Ileya, nk. Mbeya kweli baada ya 2035 tukiwa na huyu huyu Tulia Mbeya itakuwa Jiji la Ukweli.
Wana Mbeya huyu ndiye tulikuwa tunamngoja hakuna mwingine. Wana Mbeya tunamkubali na kumpenda mbunge wetu hasa Kwa ushirikiano anaotoa Kwa watu hasa kwenye musiba bila kujali ni tajiri au maskini. Wana Jiji la Mbeya tunataka Nini?
Binafsi nakupongeza Tulia Ackson . Hakika Mbeya umeikamata vilivyo, Mbeya inakukubali. Hunijui sikujui lakini nakupenda bureeeee.
Mbeya sasa hivi ina wavuta bangi wengi.Acha kuilinganisha hiyo takataka na Mbeya Mjini. Huyo kinyago aliwekwa na Magufuli, period.
Watu wa Mbeya hawana haiba ya namna hiyo. Hata kama CCM watamuweka 2025 kwa lazima kugombea basi watambue upinzaninl utachukua jimbo hilo
Huna lolote muwe mnaona aibu kuficha roho za ushoga Hamna mkulima mjingamjinga kama weweAsante, mkuu lakini Mimi ni mkulima tu Sina connection ya kuwa chawa. Naishi jijini naona kazi njema ya TULIA. Suala la bandari siyo issue Kwa Wana Mbeya. Ukienda huko LYOTO, IGANZO na maeneo mengine hawaelewi uhusiano wao na hiyo bandari wao wanataka Barabara mzuri, maji safi.,...
Kesi za kupinga mkataba wa Bandari zimefanyika wapi?Hoja ya mkataba wa Bandari haijawahi kuwa issue kwa Wana Mbeya, nakuambia ukweli Wananchi tunamkubali mbunge wetu.
Mandela,Kaunda,Mugabe,Nkrumah,Lumumba,Samora na wengine wengi.Niambie mwanaharakati mmoja tu aloyeleta maendeleo yoyote.
Mkuu Hizo kesi za bandari hazijafunguliwa na wanambeya. Hao ni wanasiasa na wanasheria Kwa haki Yao ya kikatiba na masilahi yao binafsi ya kisiasa wameanzisha kesi hiyo. Kamwe kesi hiyo haijaweza kuathiri abadani matarajio ya wanambeya Kwa Dr. Tulia hata kama baadhi hawaungi mkono Hilo la bandari. Tunapomwangalia Dr. Tulia hatuangalii uhusiano wake na bandari tunaangaliabbinafisi anatutendea Nini Wana Mbeya.Kesi za kupinga mkataba wa Bandari zimefanyika wapi?
Unawalinganisha hao dignified exemplary statesmen na mhuni wako sugu wa maandamano ya Mwanjelwa!Mandela,Kaunda,Mugabe,Nkrumah,Lumumba,Samora na wengine wengi.