Tulia ni mali kwa Jimbo la Mbeya hebu ujivunie na turinge naye

Tulia ni mali kwa Jimbo la Mbeya hebu ujivunie na turinge naye

Unawalinganisha hao dignified exemplary statesmen na mhuni wako sugu wa maandamano ya Mwanjelwa!
Sugu ni mhuni kwako Mpumbavu kama vile Mandela alivyokuwa mhuni kwa serikali ya makaburi kabla hajashinda urais kwa wapumbavu wenzio wa Afrika ya Kusini.
 
Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya mimi siwezi kueleza nikaeleweka vizuri.

Kwa sasa alama anazozitengeneza Dr. Tulia Ackson hususani kwa Jiji la Mbeya kwa kweli anavunja rekodi.

Kutuletea maonesho ya Nane Nane ya kimaifa Mbeya ambayo yatakuwa yanafanyika kila mwaka ni jambo kubwa sana kwa wana Mbeya. Binafsi nanufaika Kwa kuuza kitimoto wengi, kuku wengi, viazi mviringo elimu ya kilimo na mengine mengi!

Nikipita pita mtaani naona Barabara zinachongwa vizuri, kuna magreda kila kona hasa maeneo ya Mwanjelwa, Block Q, Ilemi, Iganzo, Ileya, nk. Mbeya kweli baada ya 2035 tukiwa na huyu huyu Tulia Mbeya itakuwa Jiji la Ukweli.

Wana Mbeya huyu ndiye tulikuwa tunamngoja hakuna mwingine. Wana Mbeya tunamkubali na kumpenda mbunge wetu hasa Kwa ushirikiano anaotoa Kwa watu hasa kwenye musiba bila kujali ni tajiri au maskini. Wana Jiji la Mbeya tunataka Nini?

Binafsi nakupongeza Tulia Ackson . Hakika Mbeya umeikamata vilivyo, Mbeya inakukubali. Hunijui sikujui lakini nakupenda bureeeee.
kilaza ktk ubora wako
 
Sugu ni mhuni kwako Mpumbavu kama vile Mandela alivyokuwa mhuni kwa serikali ya makaburi kabla hajashinda urais kwa wapumbavu wenzio wa Afrika ya Kusini.
Unavyompenda Sugu, sijui kakupa kitanda chake ulalie?
Au kakuachia ndala?
Nahisi malofa kama ninyi mko wengi!
Watu wenye akili wanawaza mbali zaidi.
 
Back
Top Bottom