residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Ni nchi ya kitapeli, wizi, uwongo na sote tu wajinga.Sio kweli.
N fursa ya wenye akili kupata pesa kupitia wajinga wajinga, n kama mwamposa tuu anavyowanyoosha wajinga
Mpeleke jamaa aombewe pesa aliyotapeliwa irudiKuna watu wamepata kaz pale kawe mkuu, kuna sista angu alivyoanza kwenda pale aliolewaga mana ndo alikuwa anaona age go watu hawana mpango wa kuchukua jumla
Bado hajasema 😂Huyo aliyeta
Huyo aliyetapeliwa ni mwanzisha mada mwenyewe.
Kichwa anakitumia kama mfuniko wa shingo 😂Nguvu anazo sema mwili mkubwa kichwn hakuna kilichosalia. Kwa kukudana yule anakuliza mkuu ni giant sema tu jumba tupu yani pagale 😂
Samaki huoza kuanzia kichwani
Cha ajabu Yas nao wameanza unaa, unatumia kibubu huambiw jumla ya hela zako ni kias gan kila ukitoa hela unaambiwa umetoa hela tu. Huambiw kilichobakia nikajitutumua siku hiyo nikazitoa zote. Wakacheze wanakochezagaNi nchi ya kitapeli, wizi, uwongo na sote tu wajinga.
Jumapili nilikuwa nimetulia na mjukuu wangu, akaniambia ndani ya miezi mitatu iliyopita, M-Pesa account yake imekuwa ikipotea tsh 30 mpaka 70 kwa siku bila maelezo.
Ni wangapi tunaibiwa namna hii na tunakaa kimya kisa ni hela ndogo!!??
Ndio maana nasema nchi (mfumo umeruhusu) imekuwa ya kitapeli, kiwizi na kiuwongo.
Kwenye jamii jiandae kukutana na kila kitu, hadi zile zisivyokufurahisha.Ananiharibia uzi jamaa kaja kufurahisha watu wakati si tunataka sauti imfingie mlengwa na wazuie haya mambo huko mitandaoni. Hawa ndo wanasababisha mtu anapewa ban kima tu
Hahahaahhahaha huu uzi nimecheka sana sasa hii nimeshindwa kuvumilia, sasa unawabeba kuwapeleka wapi na kwenu ndo hapa? hakuna kuondoka mtu na hakuna mahali unaenda mkuu.Dawa ya nchi hii ni kubeba watoto wako uhame usirudi tena, la sivyo na wewe utakuwa baba watoto wezi
Hiyo inaitwa loan security kuulinda mkopo wako! 🤣🤣🤣Yani anaenda kukopa halafu anayo laki 3 ya kutuma... kweli matatizo siku hizi hayapo serious 😂
Zamani matatizo yetu ilikuwa yakikushika unaenda kukopa ukiwa huna hata 100 mkuu, kesi kama hizi hazikuwepo kabisa
Dah ndo maana mvua hazinyeshi kwa wakati....Hiyo inaitwa loan security kuulinda mkopo wako! 🤣🤣🤣
Hata benki ukihitaji mkopo unatoa pesa inaitwa loan processing fee tofauti hao matapeli wanakuomba utume kabla ila benki hufyeka kwenye mkopo waliokupa!Sasa unataka mkopo inakuwaje tena ww ndo utoe pesa?