Cybercrimes vituoni hata laptop hawana. Wapo kama ndege maji wanazurura tu kuvizia mishaharaNalia na jeshi la polisi tu,huu utapeli wa kutumia namba zilizosajiliwa kwa alama za vidole haukupaswa kuwepo kabisa.
TCRA waliwahi mno,wangesubiri NIDA iandikishe na kutoa NIN kwa walau watu wengi ndiyo wafungie SIM cards.
Mawakala wanauza namba zilizosajiliwa,TCRA wapo ofisini.
Ukienda Polisi,hatafutwi mwenye taarifa za hiyo namba iliyotumika badala yake wanataka wampate anayetumia hiyo namba wakati huo kwa kutafuta CDR.
Kuipata hiyo CDR kutoka TCRA wanakuambia ni mchakato mrefu wa kuandika barua ila kuna shortcut za njia ya panya! Pesa itoke hapo.
Tapeli gani atatumia namba hiyo kuwasiliana na watu wake wa karibu hadi mumpate kupitia CDR?
Hiki kitengo cha Cybercrime polisi kinahitaji ubia na sector binafsi yenye weledi maana uhalifu umehamia huko kwa sasa!
Traffic si wameingia ubia kukagua magari? Na huku wapewe wenye uwezo na teknolojia.
Hii imetulia..!Samaki huoza kuanzia kichwani
ππππ Naked truthTanzania sasa hivi wiziwizi tu. Nchi gani hii kila mtu mwizi? Hakuna mtu ambae yuko salama, yaani nchi hii hata Daktari mwizi, hakimu mwizi, president mwizi. Hii laana hii
ππHuyo aliyeta
Huyo aliyetapeliwa ni mwanzisha mada mwenyewe.
Mnoooo Kila mtu tz now ni mpigaji Kila mtu anaweza kutapeliNi nchi ya kitapeli, wizi, uwongo na sote tu wajinga.
Jumapili nilikuwa nimetulia na mjukuu wangu, akaniambia ndani ya miezi mitatu iliyopita, M-Pesa account yake imekuwa ikipotea tsh 30 mpaka 70 kwa siku bila maelezo.
Ni wangapi tunaibiwa namna hii na tunakaa kimya kisa ni hela ndogo!!??
Ndio maana nasema nchi (mfumo umeruhusu) imekuwa ya kitapeli, kiwizi na kiuwongo.
Kabisa πDawa ya nchi hii ni kubeba watoto wako uhame usirudi tena, la sivyo na wewe utakuwa baba watoto wezi
Unatafuta tu Nchi nyingine sio lazima kubaki hapaHahahaahhahaha huu uzi nimecheka sana sasa hii nimeshindwa kuvumilia, sasa unawabeba kuwapeleka wapi na kwenu ndo hapa? hakuna kuondoka mtu na hakuna mahali unaenda mkuu.
πππHiyo inaitwa loan security kuulinda mkopo wako! π€£π€£π€£
Hiyo pesa inakatwa kwenye huo mkopo, hiyo ni sawa.Hata benki ukihitaji mkopo unatoa pesa inaitwa loan processing fee tofauti hao matapeli wanakuomba utume kabla ila benki hufyeka kwenye mkopo waliokupa!
Kamari ni tawi la utapeli lililoboreshwaKamari mkuu ni sehem ya utapeli au ni mfano wa vipaumbele vilivyopo?
Mimi nimejaribu kuzurura ila village people wananirudisha maana nikifika huko nje home sickness inaniwinda vibaya mno.Unatafuta tu Nchi nyingine sio lazima kubaki hapa