Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Ww ni maiti iliyoopolewa au ni mgonjwa wa Corona usiamini kila ujinga
Ninachoamini hii corona imekuja kuosha kizazi chenye fikra ndogo kama zako, pengine kizazi kitachokuja kitakuwa na uwezo wa kuhoji na kuchambua mambo kuendana na uhalisia kama kilichopotea kabla yetu cha kina NKURUMAH, NYERERE, MANDELA, MONDLANE, etc!
Tuna bahati tupo katika kipindi che technology, sauti za tukio zipo, video zipo, picha zipo, bado tunashindwa kuchambua hili jambo kiuhalisia ili kuleta wokovu? Duuuh! 😳