Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Ww ni maiti iliyoopolewa au ni mgonjwa wa Corona usiamini kila ujinga

Ninachoamini hii corona imekuja kuosha kizazi chenye fikra ndogo kama zako, pengine kizazi kitachokuja kitakuwa na uwezo wa kuhoji na kuchambua mambo kuendana na uhalisia kama kilichopotea kabla yetu cha kina NKURUMAH, NYERERE, MANDELA, MONDLANE, etc!

Tuna bahati tupo katika kipindi che technology, sauti za tukio zipo, video zipo, picha zipo, bado tunashindwa kuchambua hili jambo kiuhalisia ili kuleta wokovu? Duuuh! 😳
 
Laanatullahi nyerere ndio fala kabisa hapo , yeye ndiye katufikisha hapa tulipo leo
 
Kuna ngonjera zikiimbwa ukizifuatilia unaweza hizi dunia yote inaangamia siku hiyo hiyo
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa data hizi? Usimfyonze mamba kabla hujamaliza kuvuka mto!!
 
Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
Wewe ndio MPUMBAVU. Mgonjwa serious hakimbii hospital. Kama unafuatilia mambo vizuri kuna jamaa wa Kenya alilalamika kuambiwa ana CORONA na kapelekwa hospital na hamna anachopewa. So wengi si wagonjwa, Mgonjwa unapata wapi nguvu za kukimbia?Taarifa za kwenye media na mazingira halisi ni vitu viwili tofauti. Kama unaambiwa kila siku madereva wa Tanzania wanakutwa na corona Uganda, hujiulizi corona hii hii Mtu anapiga gia Dar to Uganda na yupo fiti?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
wewe unaumwa?? au unahisi una corona yako uanze kuitumia
Kuna mijitu ni mipumbavu, imekalilishwa oooh hawapimi, hawapimwi akina nani?Kwenye familia yake kuna mwenye CORONA na kafa kisa hakupimwa?Hivi ugonjwa ni hadi upime ndio ujue unaumwa?Kama mtu anaamka asubuh na kufanya shughuli zake vizur na jioni yuko poa miezi na miez, umpime ugundue nini?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Hivi kwanini isitumike nguvu nyingi kuhakikisha hili janga linaisha, kuliko kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa ni jambo la kawaida ama ni la kutisha kuliko kawaida...
Mkuu kwanini utumie nguvu kubwa kiwatisha watu?Ktk familia yako au ukoo wako kuna mwenye CORONA au kafa corona na mwanzo alikua mzima?Elewa ni ugonjwa wa kawaida ila umekuja na propaganda za kutosha.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Saa nyingine akili zetu ziwe active angalau mara moja kwa mwaka ili ubongo usioze kwa kutotumika.

Hali mbaya haimaanishi hadi augue mamaako au mwanao, check numbers dear kid. Wakati haya yanasemwa, tulikuwa tumetangaziwa idadi chini ya 50 victims. Ndani ya siku kumi, idadi ikapanda almost four times na sasa tuko karibu ya 300 na sina hakika.

Kuongea hovyo hovyo, kurpu kurpu na ropo ropo hata Gwajima aliropoka kuwa Kenya na Rwanda zina wagonjwa wengi sababu wamefunga makanisa. Sasa ujinga wa kutanguliza mdomo, sijui sasa hivi anaweza kubadili kauli au kwa vile amezoeana na aliokuwa akiwahutubia wanamshangilia, maana tunakimbizana na Kenya barabara
 
Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
Sasa mtu anayeunwa mafua anahitaji huduma gani zaidi ya kupewa juice ili apone haraka? Ulitaka wafanyiwe upasuaji?
 
Back
Top Bottom