Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Laanatullahi nyerere ndio fala kabisa hapo , yeye ndiye katufikisha hapa tulipo leo
Kwa LUGHA YA KWENU KOJANI ,,,hivi FALA inamaanisha nini? NYERERE ANA UHUSIANO GANI NA HALI YA INCHI ilivyo SASA?kama ni SUALA LA VIONGOZI KUFUNGWA,,,huyo SHAMTE NDY WAKWANZA? hilo suala LA kufungwa SHAMTE LINAHUSIKA VIPI NA HALI YA UCHUMI WA TANZANIA KWA SASA? Mambo ya MASHEHE WA UAMSHO NYERERE ANAHUSIKA VIPI? NYERERE alikuwa Nov 1999..UAMSHO WAMEKAMATWA MIAKA KUMI BAADAE,,yeye anahusika na nn? VIONGOZI WOTE WANGEKUWA WAZALENDO KAMA NYERERE Leo tusingekuwa hapa TULIPO....WEWE utakuwa UMEAMINISHWA UPUUZI..NYERERE KAACHIA INCHI HII ILIKUWA na VIWANDA VINGI SANA,,,HATA SEKTA YA MADINI alikataa KUINGIA mikataba ya KIPUUZI.,,mpaka sekta ya UVUVI PIA KULIKUWA NA MELI ZA MUUNGANO WA CHINA NA TANZANIA,,,MABAHARIA TUNAPANDA NDONGA...WAKATI NYERERE ANAACHIA INCHI DOLA MOJA ILIKUWA SHULING NGAPI?ANZIA HAPO KWANZA...Leo hakuna hata kimoja kilichopo KWENYE USO WA RAMANI YA TANZANIA.... HIVI MZAZI KAACHA MALI,,watoto WAMEUZA KILA KITU,,,na KURUDI KWENYE ULOFA,,wa kumlaumu ni MZAZI ALIYEKUACHIA MALI? au watoto waliotumia kwa FUJO?USITUKANE WAZEE WEWE KIJANA....Mimi nimesoma enzi ya NYERERE TUKIKUNYWA UJI WA BLUGA SHULENI..NA KUPEWA MADAFTARI...leo HUO UJI UNAULIPIA ,tena sio uji wa maziwa,,ni chumvi na dona,, UNAMTUKANIA NN MZEE WA WATU? mwache apumziike kama UKIVYOWAACHA WAZEE WAKO CHOKOCHO...kama neno FALA SIO TUSI,,BASI NA WEWE PIA FALA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
ukimwambia mwenzio pumbavu, we utakuwa
PUMBAVU - AV =
 
Utaalamu wa wanasanyasi ni tofauti na mipango ya Mungu,WHO wametangaza sana kwamba Africa itakuwa worst na ,lakini ni tofauti

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Ninaachijua mm hawakuongea kwa ubaaya bali ni kuweka tahadhari kwetu kama haitakuwa hvyo itakuwa vizur zaid.
Lakn haina maana eti wao wanataka tufe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kila siku unakula kwa jirani wakati unashamba la kulima kwanini usidharaulike? Afrika ina kila rasimali lakini bado masikini mpaka kesho kutwa, Kwanini usidharaulike? Katika bara linalotia aibu ni Afrika.
Hata kama UKIMWI umeletwa na wazungu. Kwanini nyie wafrika msitengeneze dawa ya UKIMWI kuonesha ulimwengu kuwa AFRICA ni bara lenye kila kitu? Kwenye elimu yenu mnatumia lugha ya kiingereza, mtaala wa kikoloni mpaka kwenye kazi ili uajiriwe lazima ujue kiingereza. Kwanini mzungu asikudharau? Afrika mna nini cha kujivunia? Afrika ina madini, samaki, milima, mbuga za wanyama n.k lakini ni masikini mpaka mnachukiza.
Ukimwi umeingia Afrika miaka ya 90 lakini mpaka leo wafrika hawajagundua chanjo wala tiba na wanamtegemea Mzungu atengeneze dawa. Unajivunia una madini, wanyama, Ardhi yenye rutuba, mafuta n.k lakini ni masikini. Ni sawa na mtu mwenye bilion 50 lakini analala njaa, hii ni akili au matope?
Wakiona Waafrika hawafariki wakipunguza kuleta dawa za HIV. Apo Africa patakuwa mazishi kila kona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini isitumike nguvu nyingi kuhakikisha hili janga linaisha, kuliko kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa ni jambo la kawaida ama ni la kutisha kuliko kawaida...

Mkuu mkakati ni kuwa: wenye kufa acha wafe hadi tiba au chanjo itakapopatikana.

Watakaokufa potelea mbali watakaopenya bahati yao. Haituhusu.

Life goes on. As plain as that. Ukweli mchungu. Hiyo ndiyo Brazilian style tuliyochagua kufuata:



Kumbuka kama ilivyo kwa rais wa Brazil rais wetu pia yuko katika listi hii iliyoushangaza ulimwengu. Si kwa werevu lakini:

IMG_20200424_182838_396.jpg
 
Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
Mgonjwa hawezi kukimbia sehemu ya kupata tiba, hao itakuwa sio wagonjwa. Pamoja na hoja yako, hoja ya mtoa mada bado iko sahihi, kwamba yuko Mungu ambaye ni zaidi ya mawazo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"It's interesting to note that medical science always presents things as fact when actually what they are really presenting is not fact at all. It's only an opinion, based on the information they have at the current time. Throughout history, medical "facts" have been proven not to be true over and over again. Therefore they are not facts at all; they are simply opinions. Medical science has stated things to be true and, in most cases, years later those things have been found not to be true."~ Kevin Trudeu.
 
Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
Kwenye ukoo wenu kuna wangapi wana corona mkuu? Tuanzie hapo kwanza kama watakuwa wameambukizwa angalau 10 basi tutajua kweli wazungu waliyosema ni sahihi.
 
Ule msemo wa "akili za kuambiwa changanya na zako " utumike tu sasa kama upo salama shukuru na endelea kujikinga . maana yakikuta ndo utajua maana. 😭😭😭
 
kuna tusi gani nimeandika????

Hao waliokuambia kuhusu LaanatullahiNyere wamekupiga changa la macho

Hivi unakijua alichokifanya Laanatullahi Nyerere Zanzibar na Tanganyika lakini wa kuwalaumu ni waingereza waliomweka madarakani baada ya kuangushwa na wanajeshi

Huyo baba yako unayemwona bora kuliko baba yako mzazi , aliivamia Zanzibar na kumkamata waziri mkuu wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi na kuwafunga katika jela za Tanganyika pamoja na mawaziri wake wote kabla hata huo uvamivi haujapewa jina la muungano hapo April 26, 1964

walikaa magerezani kwa zaidi ya miaka 10 bila kufikishwa mahakamani

Leo nyinyi wajuku zake mumefanya hayo hayo kwa kuwafunga masheikh na waislamu huku mukijidanganya kumuomba Mungu awaondolee korona ,

Kwa dhuluma zenu subirini bakora inakuja
Hakuna binadamu anayekosa mabaya, kwahiyo hakuna la ajabu hapo. Punguza chuki ulizobeba vizazi na vizazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hizo ambulance kupita huwa zimeweka bango mlangoni kwamba wana mgonjwa wa corona??
Na vipi kabla ya hapo hukuwahi kuziona ambulance kupita mtaani kwako? Vipi magonjwa mengine hayasababishi ambulance kupita mtaani kwako?
Labda nikuulize swali la kizushi, hapo mtaani kwako wameshakufa watu wangapi mpaka sasa kwa corona? Na wanaoumwa ni wangapi vileee??
Ila chukua tahadhari ugonjwa huu upo na magonjwa mengine yapo tena makali zaidi ya huu, lakini usiache kuendelea na maisha ndugu.
Mtaani kwangu wanaumwa watu wa3 korona.
 
Eti hali ni mbaya sasa sijui wenzetu wanapima watu na kujua hali ni mbaya, ama ndo akipita mtandaoni anaunga habari

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa uelewe kuwa kuna wameunda taifa lao la kufikirika ambalo hilo taifa lina kila aina ya mambo mabaya kama ugaidi,udikteta,uhaba wa chakula,watu wanaishi kwa hofu wanauliwa hovyo,watu wanakufa kwa ebola na sasa kuna balaa jipya watu wanakufa kwa corona yani hali ni mbaya katika hilo taifa.

Usiombe ukaingia katika hilo taifa halina jambo zuri huko ni mabalaa mwanzo mwisho. Kwahiyo ukiona mtu anakuelezea vitu ambavyo kwenye uhalisia huvioni basi tambua tu anakusudia lile taifa lao la kufikirika.
 
Back
Top Bottom