Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa LUGHA YA KWENU KOJANI ,,,hivi FALA inamaanisha nini? NYERERE ANA UHUSIANO GANI NA HALI YA INCHI ilivyo SASA?kama ni SUALA LA VIONGOZI KUFUNGWA,,,huyo SHAMTE NDY WAKWANZA? hilo suala LA kufungwa SHAMTE LINAHUSIKA VIPI NA HALI YA UCHUMI WA TANZANIA KWA SASA? Mambo ya MASHEHE WA UAMSHO NYERERE ANAHUSIKA VIPI? NYERERE alikuwa Nov 1999..UAMSHO WAMEKAMATWA MIAKA KUMI BAADAE,,yeye anahusika na nn? VIONGOZI WOTE WANGEKUWA WAZALENDO KAMA NYERERE Leo tusingekuwa hapa TULIPO....WEWE utakuwa UMEAMINISHWA UPUUZI..NYERERE KAACHIA INCHI HII ILIKUWA na VIWANDA VINGI SANA,,,HATA SEKTA YA MADINI alikataa KUINGIA mikataba ya KIPUUZI.,,mpaka sekta ya UVUVI PIA KULIKUWA NA MELI ZA MUUNGANO WA CHINA NA TANZANIA,,,MABAHARIA TUNAPANDA NDONGA...WAKATI NYERERE ANAACHIA INCHI DOLA MOJA ILIKUWA SHULING NGAPI?ANZIA HAPO KWANZA...Leo hakuna hata kimoja kilichopo KWENYE USO WA RAMANI YA TANZANIA.... HIVI MZAZI KAACHA MALI,,watoto WAMEUZA KILA KITU,,,na KURUDI KWENYE ULOFA,,wa kumlaumu ni MZAZI ALIYEKUACHIA MALI? au watoto waliotumia kwa FUJO?USITUKANE WAZEE WEWE KIJANA....Mimi nimesoma enzi ya NYERERE TUKIKUNYWA UJI WA BLUGA SHULENI..NA KUPEWA MADAFTARI...leo HUO UJI UNAULIPIA ,tena sio uji wa maziwa,,ni chumvi na dona,, UNAMTUKANIA NN MZEE WA WATU? mwache apumziike kama UKIVYOWAACHA WAZEE WAKO CHOKOCHO...kama neno FALA SIO TUSI,,BASI NA WEWE PIA FALA...Laanatullahi nyerere ndio fala kabisa hapo , yeye ndiye katufikisha hapa tulipo leo
ukimwambia mwenzio pumbavu, we utakuwaWee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
MatagaWewe mama una hasira na hasira hizi zinatokana na kwamba matarajio yenu hayatimii,!
Sasa utaendelea kuwa na hasira hivyo hivyo na ikiwezekana kajinyonge kabisa ili usishuhudie ukuu wa Mungu kwa Watz katika janga hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaachijua mm hawakuongea kwa ubaaya bali ni kuweka tahadhari kwetu kama haitakuwa hvyo itakuwa vizur zaid.Utaalamu wa wanasanyasi ni tofauti na mipango ya Mungu,WHO wametangaza sana kwamba Africa itakuwa worst na ,lakini ni tofauti
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Wakiona Waafrika hawafariki wakipunguza kuleta dawa za HIV. Apo Africa patakuwa mazishi kila kona
Sent using Jamii Forums mobile app
ili la ambulance sio utani......mimi nakaa eneo fulani kuelekea hospital kubwa tu frequency ya ambulance imekuwa times 4Za twita zina reflect na hali nayoona mtaani.....Ambulance muda wote zinapita.
Hivi kwanini isitumike nguvu nyingi kuhakikisha hili janga linaisha, kuliko kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa ni jambo la kawaida ama ni la kutisha kuliko kawaida...
Mgonjwa hawezi kukimbia sehemu ya kupata tiba, hao itakuwa sio wagonjwa. Pamoja na hoja yako, hoja ya mtoa mada bado iko sahihi, kwamba yuko Mungu ambaye ni zaidi ya mawazo yetu.Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
Kwenye ukoo wenu wangapi wana corona dada tuanzie hapo?
Kwenye ukoo wenu kuna wangapi wana corona mkuu? Tuanzie hapo kwanza kama watakuwa wameambukizwa angalau 10 basi tutajua kweli wazungu waliyosema ni sahihi.Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
Hakuna binadamu anayekosa mabaya, kwahiyo hakuna la ajabu hapo. Punguza chuki ulizobeba vizazi na vizazi.kuna tusi gani nimeandika????
Hao waliokuambia kuhusu LaanatullahiNyere wamekupiga changa la macho
Hivi unakijua alichokifanya Laanatullahi Nyerere Zanzibar na Tanganyika lakini wa kuwalaumu ni waingereza waliomweka madarakani baada ya kuangushwa na wanajeshi
Huyo baba yako unayemwona bora kuliko baba yako mzazi , aliivamia Zanzibar na kumkamata waziri mkuu wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi na kuwafunga katika jela za Tanganyika pamoja na mawaziri wake wote kabla hata huo uvamivi haujapewa jina la muungano hapo April 26, 1964
walikaa magerezani kwa zaidi ya miaka 10 bila kufikishwa mahakamani
Leo nyinyi wajuku zake mumefanya hayo hayo kwa kuwafunga masheikh na waislamu huku mukijidanganya kumuomba Mungu awaondolee korona ,
Kwa dhuluma zenu subirini bakora inakuja
Hiyo ni biashara waikate tu,na halafu kama wakifanya hivyo waliyokuwa wanavitumia ndio watakufa.Wakiona Waafrika hawafariki wakipunguza kuleta dawa za HIV. Apo Africa patakuwa mazishi kila kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaani kwangu wanaumwa watu wa3 korona.Na hizo ambulance kupita huwa zimeweka bango mlangoni kwamba wana mgonjwa wa corona??
Na vipi kabla ya hapo hukuwahi kuziona ambulance kupita mtaani kwako? Vipi magonjwa mengine hayasababishi ambulance kupita mtaani kwako?
Labda nikuulize swali la kizushi, hapo mtaani kwako wameshakufa watu wangapi mpaka sasa kwa corona? Na wanaoumwa ni wangapi vileee??
Ila chukua tahadhari ugonjwa huu upo na magonjwa mengine yapo tena makali zaidi ya huu, lakini usiache kuendelea na maisha ndugu.
Unatakiwa uelewe kuwa kuna wameunda taifa lao la kufikirika ambalo hilo taifa lina kila aina ya mambo mabaya kama ugaidi,udikteta,uhaba wa chakula,watu wanaishi kwa hofu wanauliwa hovyo,watu wanakufa kwa ebola na sasa kuna balaa jipya watu wanakufa kwa corona yani hali ni mbaya katika hilo taifa.Eti hali ni mbaya sasa sijui wenzetu wanapima watu na kujua hali ni mbaya, ama ndo akipita mtandaoni anaunga habari
Sent using Jamii Forums mobile app