Nimegunduwa WEWE UNA CHUKI BINAFSI DHIDI YA NYERERE NA PIA UNA CHUKI ZA UDINI...kwako haliwezifutika MOYONI...unazungumzia mambo ya kula UNGA WA NJANO,,hujuwi kwann tuliishi vile? Unazungumzia MADUKA YA KAYA kwann tuliishi vile? eleza NINI kilitupelekea KUISHI VILE..? rudi kwa hyo aliyekuhadithia umuulize...DUNIA NZIMA INAJUWA KAMA TANZANIA ILIPITA KIPINDI KIGUMU BAADA YA VITA VYA KAGERA 1978/79 hapo NDIO HALI ILIANZA KUWA MBAYA...hata NYERERE MWENYEWE ALISEMA TANZANIA TUFUNGE MIKANDA.....na LAZIMA PIA ujuwe kipindi hicho TANZANIA PIA ILIKUWA MSTARI WA MBELE KTK HARAKATI ZA UKOMBOZI BARABARANI AFRICA....tuliwasaidia WENZETU kwa hali na Mali.....PIA wakati huo inchi ILIKUWA bado ni changa ,,,NYERERE alifanya Alivyoweza kutusukuma kwa kadiri alivyoweza,,,WAKATI HUO ALIWEKA USAWA,,baina ya watoto wa TAJIRI NA MASIKINI...wote tulisoma Shule za KAYUMBA,,,HOSPITAL DAWA ZILIKUWAPO.,,,UNASEMA WOTE TULIVAA MIPIRA MIGUUNI huo ndy USAWA WENYEWE UNAOTAKIWA,, alimpokonya YEYOTE ALIYEKUWA NA MALI ISIYOJULIKANA KATOA WAPI ,,,NYERERE alikuwa ni MUADILIFU ktk RUSHWA NA KUJILIMBIKIZIA MALI,,tofauti na VIONGOZI wa Leo,, ,,hakuna MZURI ANAYEKOSA MABAYA...IPO hivyo ili mambo yaende.,,una muita Laana tu ALAH... Alifanya KOSA LIPI LA KULAANIWA NA MUNGU? kama kuiweka CCM MADARAKANI NI MATUNDA YAKE mbona HULAUMU MAENDELEO YALIOPO LEO HAPA INCHINI? mbona HULAUMU LEO UNATOKA DAR KWENDA CHAMBA WIMA kwa MASAA 2?badala ya kusafiri MASAA KIBAO,, Leo unapata UJASIRI WA KUMSEMA NYERERE KWENYE SIMU hyo simu umeitoa wapi? Mbona HULAUMU kwann tunatumia SIMU? na wakati wa NYERERE hazikuwapo? mbona HULAUMU Leo KUNA KILA KITU KINAPATIKANA MADUKANI ,,na wakati wa NYERERE havikuwapo?wacha CHUKI ZAKO BINAFSI DHIDI YA VIONGOZI WAZALENDO......KAMA ULIKUWA NA BAISKELI ukapokonywa na NYERERE BASI hukuwa MTIIFU NA MALI ULIZOPATA NA FAGIO LA CHUMA LIKAKUHUSU...KAZINI
Sent using
Jamii Forums mobile app