Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Laanatullahi nyerere ndio fala kabisa hapo , yeye ndiye katufikisha hapa tulipo leo

Duh; mtu alishaondoka madarakani miaka 35 iliyopita bado unamhusisha na hali iliyopo leo? Wakati wake - tena kipindi hicho mtaani hakuna bidhaa - lakini bado wagonjwa walikuwa wanapata dawa na chakula.
Mbona waislamu wenzako waliofuatia hawakurekebisha hiyo hali? Utakufa bure kwa chuki kwa mtu asiekuwepo duniani.
 
Huu ugonjwa Kama upo Basi upo kwa wenzetu huko majuu Ila huku n chembechembe tuu ndo tunaxopata.

Kuna mtu anasema Hali n mbaya eti nimuamini, Yan simple kihivyo? Njoo na details nikuelewe

Mwingine anasema mama ake alkua anaongea na mtu kwenye simu eti gonjwa hili lishawachukua watu sita, ebu zakuambiwa changanya na zako Kama sita washaondoka na mlibeba nyumba yake mpaka makaburini vp Hali yenu Sasa n wazima au n wagonjwa?

Mnapenda kutisha watu Sana Ila uhalisia huku Africa hasa nchi Kama zetu maxuzu n wengi MUNGU katuwekea mkono.

Namkubali JPM yupo strong na anaelewa hii inshu n hatari japo sio hatari kihivyo na anatujua ndugu zake tulivyo tukipata tunatumia hatuweki akiba.

Huu ndo ulkua muda sahihi wa kupiga Kaz ili kushusha rate ya Dola Mana Kule wapo hoi
 
Tusitegemee kupata takwimu sahihi,watu wameshapewa onyo na kutishiwa kama wataendelea kutoa data!Pia kupima kumekuwa discouraged!Ni kama tumeambiwa tupambanae na hali zetu!
Umekutana na maiti barabarani wewe mana vingine hata ukificha vipi lazima mambo yatabuma tu.
Tunapaswa kuchukua tahadhari kama tulivyoambiwa na wataalamu mengine ni ya kuyapotezea tuu
 
Hampimi watu,hali ni mbaya,kama huamini muulize mseven

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa sana kiazi kama wewe unaesema hali ni mbaya.
Hao wenye hali mbaya wapo wapi????

Watanzania wanavyopenda umbea kweli maiti/wagonjwa wazagae bila kujulikana??????

Tujifunze kujikubali, ugonjwa umedunda kwetu na huo ndio ukweli. Sio kila mzungu akitabiri basi Itatokea.

#TZsihami
 
Kwavile mleta mada hujafisha mtu kwa korona ndo maana una sema hivo ila kwa walio kwenye misiba ya vifo vilivyotokana na corona wanaona yaliyosemwa yametimia subir kidogo ibishe hod kwako kijana. Tutaelewana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaana wewe nisawa na kima au nyani kucheka kicha kikiungua asijue kikiungua usiku atakosa pa kulala ugonjwa bado unakamua hujui lini utaisha ndo kwanzaa hamna hata jitihada madhubut za kujikwamua alafu unasema vile poor Tanzanians.
Hata ule utabiri wa limke la tajiri namba 3 dunia kwamba Africa itapoteza maisha ya watu 10,000,000 utagonga mwamba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli media ni kansa, jiulize yaliyotokea amana hakuna media imemhoji daktari na ikaleta ripoti hewani wananchi wakajua kunani, wamekuja kuripoti mkuu wa wilaya akisema wagonjwa wanataka kutoka kwa nguvu, badala ya media kwenda kujua kwanini wagonjwa wanataka kutoka kwa nguvu habari imeishia hapo. wagonjwa washatoroka lakini tunakuja kuambiwa wanataka kutoka, shame.

Takwimu bado ni mtihani, unajua ni wagonjwa wangapi wanapimwa kwa siku? waliotoroka wako wapi? waliokutwa positive wamesambaza kwa wangapi ambao bado hawajapimwa? una uhakika wamefariki wangapi kwa corona?

Media ni kansa, haswa Tanzania ambako hawana uhuru wa kupost hata zile video tunazoziona kwenye mitandao.

Tujilinde!
 
Nimegunduwa WEWE UNA CHUKI BINAFSI DHIDI YA NYERERE NA PIA UNA CHUKI ZA UDINI...kwako haliwezifutika MOYONI...unazungumzia mambo ya kula UNGA WA NJANO,,hujuwi kwann tuliishi vile? Unazungumzia MADUKA YA KAYA kwann tuliishi vile? eleza NINI kilitupelekea KUISHI VILE..? rudi kwa hyo aliyekuhadithia umuulize...DUNIA NZIMA INAJUWA KAMA TANZANIA ILIPITA KIPINDI KIGUMU BAADA YA VITA VYA KAGERA 1978/79 hapo NDIO HALI ILIANZA KUWA MBAYA...hata NYERERE MWENYEWE ALISEMA TANZANIA TUFUNGE MIKANDA.....na LAZIMA PIA ujuwe kipindi hicho TANZANIA PIA ILIKUWA MSTARI WA MBELE KTK HARAKATI ZA UKOMBOZI BARABARANI AFRICA....tuliwasaidia WENZETU kwa hali na Mali.....PIA wakati huo inchi ILIKUWA bado ni changa ,,,NYERERE alifanya Alivyoweza kutusukuma kwa kadiri alivyoweza,,,WAKATI HUO ALIWEKA USAWA,,baina ya watoto wa TAJIRI NA MASIKINI...wote tulisoma Shule za KAYUMBA,,,HOSPITAL DAWA ZILIKUWAPO.,,,UNASEMA WOTE TULIVAA MIPIRA MIGUUNI huo ndy USAWA WENYEWE UNAOTAKIWA,, alimpokonya YEYOTE ALIYEKUWA NA MALI ISIYOJULIKANA KATOA WAPI ,,,NYERERE alikuwa ni MUADILIFU ktk RUSHWA NA KUJILIMBIKIZIA MALI,,tofauti na VIONGOZI wa Leo,, ,,hakuna MZURI ANAYEKOSA MABAYA...IPO hivyo ili mambo yaende.,,una muita Laana tu ALAH... Alifanya KOSA LIPI LA KULAANIWA NA MUNGU? kama kuiweka CCM MADARAKANI NI MATUNDA YAKE mbona HULAUMU MAENDELEO YALIOPO LEO HAPA INCHINI? mbona HULAUMU LEO UNATOKA DAR KWENDA CHAMBA WIMA kwa MASAA 2?badala ya kusafiri MASAA KIBAO,, Leo unapata UJASIRI WA KUMSEMA NYERERE KWENYE SIMU hyo simu umeitoa wapi? Mbona HULAUMU kwann tunatumia SIMU? na wakati wa NYERERE hazikuwapo? mbona HULAUMU Leo KUNA KILA KITU KINAPATIKANA MADUKANI ,,na wakati wa NYERERE havikuwapo?wacha CHUKI ZAKO BINAFSI DHIDI YA VIONGOZI WAZALENDO......KAMA ULIKUWA NA BAISKELI ukapokonywa na NYERERE BASI hukuwa MTIIFU NA MALI ULIZOPATA NA FAGIO LA CHUMA LIKAKUHUSU...KAZINI

Sent using Jamii Forums mobile app


Uandishi wako unaonyesha wewe ni kijana wa maskani shule imekushinda , subiri mwenge upite tawini kwenu ukakimbize

Tulianza kula sembe la Yanga kabla hata hiyo 1978/79 .

Vita ya Uganda ilikuwa ni kuweka Mkatoliki mwenzake Obote madarakani bila kujali waganda wanamtaka au la.

Akatuulisha ndugu zetu wengi bureeee kwa kuushabikia Ukatoliki
 
Duh; mtu alishaondoka madarakani miaka 35 iliyopita bado unamhusisha na hali iliyopo leo? Wakati wake - tena kipindi hicho mtaani hakuna bidhaa - lakini bado wagonjwa walikuwa wanapata dawa na chakula.
Mbona waislamu wenzako waliofuatia hawakurekebisha hiyo hali? Utakufa bure kwa chuki kwa mtu asiekuwepo duniani.


Waislamu wenzangu na walikabidhiwa na kanisa biblia Butiama?? huku tukiambiwa na viongozi wa Kikatoliki kuwa ni chaguo la Mungu ??

Mwinyi aliikuta nchi ikiwa 0000

Alifanya nini na huyo Mkapa alifanya nini ??
 
We umetumia kipimo gani kujua hali iko kawaida? Mara ya mwisho kutajiwa idadi ya wagonjwa unaikumbuka ilikuwa lini? [emoji849]
 
Ni kweli kiongozi haiendani na jinsi ya maneno yako ya kutukana.


Kama unaona Baba yenu ninamtukana kwa kumwita Fala sorry si mimi ni mwenyewe alijiweka hivyo na kujitukanisha mwenyewe

Avatar isikutese ni facts
 
Kama unaona Baba yenu ninamtukana kwa kumwita Fala sorry si mimi ni mwenyewe alijiweka hivyo na kujitukanisha mwenyewe

Avatar isikutese ni facts
Sina mengi zaidi ya hayo,ila lifanyie kazi,kama angejitukana basi haya maneno nisingeyasikia kwako. Ni hayo tu mkuu nafurai kukuambia nilivyokwambia.
 
Back
Top Bottom