Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona?

Mwendokasi Mbagala ni mfupa mgumu uliomshinda Rais Samia Suluhu Hassani.

Kama kuna mradi Tanzania hii uliomshinda Samia basi ni mradi wa mabasi ya mwendokasi phase two mbangala.

Maana mradi huu ulikuwa ukamilike na kuzinduliwa rasmin mwaka 2021/22 enzi za hayati Magufuli. Kama sio kifo cha Jpm ungekuta mradi huu umeshaanza kazi miaka mingi sana iliyopita!

Lakini kinyume chake na kitu cha kushangaza ni baada ya Samia kuchukua madaraka ni kama vile ameupuuza mradi huu na kuutelekeza kuuona hauna maana, au hata asipoukamilisha watamfanyanini?!

Maana tangu 2021 mpaka leo 2025 ni miaka minne bado mradi haujakamilika?! Na kila mwaka kauli ni hizo hizo zisizo na mashiko!! Mpaka miundo mbinu yake imeanza kuharibika kabla hata ya kuanza kutumika rasmini?! Inasikitisha sanaaa kwakweli!

Au labda inawezekana huyu mama Samia anataka kuja kuutumia mradi huu kisiasa aje auzindue mwaka huu 2025 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ili kujiongezea kura! Mbagala ni eneo lenye wakazi wengi sana!

Adios Amigo!
 
Daaaah
 
Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili tuipongeze Serikali.

Pia soma:
Mungu Ibariki Tanzania..
Hivi sijuwi kwanini sijawahi amini kiongozi wowote toka serikali hii ya Mama Samia. Yaani hawa ni full maigizo tu, wanawashinda hata kina Joti kwa Comedy.
 
IMG-20250309-WA0070.jpg
 
Hili TAIFA linajiendea tu na pia nijepesi kuliendesha kwakua MKUU wao hajui llte lile na hana kumbukumbu kabisaa. Pia watanganyika akuna kitu.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili tuipongeze Serikali.

Pia soma:
Mungu Ibariki Tanzania..
Tutanzisha baada ya uchafuzi, sasa hivi itagusa Maisha na ustawi wa wapiga Kula kwetu
 
Kuanzia mitaa ya kizuiani Hadi rangi3 hivi vituo vimegeuzwa gesti ukipita usiku SAA 7 utawakuta watu wamelala na mademu zao....vituo vingi vioo hakuna watu wanaingia Tu ndani
Hilo hata mimi nalifahamu, nikajua ushenzi huo unafanywa na Walinzi
 
Back
Top Bottom