adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Watuweke Guiness World record😀😀😀😀Soko wanalo
Biashara ipo lakini wenyewe wanafeli 😄
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watuweke Guiness World record😀😀😀😀Soko wanalo
Biashara ipo lakini wenyewe wanafeli 😄
Ova
DaaaahMwendokasi Mbagala ni mfupa mgumu uliomshinda Rais Samia Suluhu Hassani.
Kama kuna mradi Tanzania hii uliomshinda Samia basi ni mradi wa mabasi ya mwendokasi phase two mbangala.
Maana mradi huu ulikuwa ukamilike na kuzinduliwa rasmin mwaka 2021/22 enzi za hayati Magufuli. Kama sio kifo cha Jpm ungekuta mradi huu umeshaanza kazi miaka mingi sana iliyopita!
Lakini kinyume chake na kitu cha kushangaza ni baada ya Samia kuchukua madaraka ni kama vile ameupuuza mradi huu na kuutelekeza kuuona hauna maana, au hata asipoukamilisha watamfanyanini?!
Maana tangu 2021 mpaka leo 2025 ni miaka minne bado mradi haujakamilika?! Na kila mwaka kauli ni hizo hizo zisizo na mashiko!! Mpaka miundo mbinu yake imeanza kuharibika kabla hata ya kuanza kutumika rasmini?! Inasikitisha sanaaa kwakweli!
Au labda inawezekana huyu mama Samia anataka kuja kuutumia mradi huu kisiasa aje auzindue mwaka huu 2025 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ili kujiongezea kura! Mbagala ni eneo lenye wakazi wengi sana!
Adios Amigo!
Hivi sijuwi kwanini sijawahi amini kiongozi wowote toka serikali hii ya Mama Samia. Yaani hawa ni full maigizo tu, wanawashinda hata kina Joti kwa Comedy.Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili tuipongeze Serikali.
Pia soma:Usafiri wa Mwendokasi Mbagala kuanza kazi mwezi Machi 2025
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini-...www.jamiiforums.com
Mungu Ibariki Tanzania..
Mnajazana zaidi ya MbuziRoot ya kimara gerezani
Wanachemka 😄
Ova
Hatari 😄Mnajazana zaidi ya Mbuzi
Lazima wampeleke ICU hakuna hewa ya kutoshaHatari 😄
Inabd majaliwa wamlazimishe
Kuutumia huo usafiri siku moja
Ova
Tutanzisha baada ya uchafuzi, sasa hivi itagusa Maisha na ustawi wa wapiga Kula kwetuTuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili tuipongeze Serikali.
Pia soma:Usafiri wa Mwendokasi Mbagala kuanza kazi mwezi Machi 2025
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini-...www.jamiiforums.com
Mungu Ibariki Tanzania..
Hilo hata mimi nalifahamu, nikajua ushenzi huo unafanywa na WalinziKuanzia mitaa ya kizuiani Hadi rangi3 hivi vituo vimegeuzwa gesti ukipita usiku SAA 7 utawakuta watu wamelala na mademu zao....vituo vingi vioo hakuna watu wanaingia Tu ndani
Walinzi wenyewe Wana njaaHilo hata mimi nalifahamu, nikajua ushenzi huo unafanywa na Walinzi
Labda serikali ya Tanzania
Mpeni Msukuma muone jinsi biashara inavyofanywa.Soko wanalo
Biashara ipo lakini wenyewe wanafeli 😄
Ova