Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

Siwezi kubishana na wewe maana nimesema hapo juu ninasoma Masters in Industrial Engineering na nimekwambia kila kampuni inafanya Research and Development huku Ulaya. Na wachina wanatumia technology nyingi za Ujerumani sana sana kwenye consultation. Nimeongea ninachokijua na sio ku-google. Uwe na siku njema.
China ranks top in 53 of the world’s 64 most critical advanced technologies


 
Lazima ulete habari kamili kwamba nini kilitokea ni impact gani gari ilipata kufikia hapo kama iligonga treni, ilikanyaga landmine, etc kuiponda kampuni ya kichina na kati huku mtaani kuna howo, zhongtong, chakman, faw,zinapiga kazi kama Kawa utakuwa hutendi haki
 
Siku zinakuja ambapo hamna manufacrurer yeyote duniani ataweza ku compete na Wachina. Population ya bilioni 1.4, graduate wakiwa 80 milioni kila mwaka. Labor force kubwa sana na ambayo iko skilled. Siku zinakuja kila mtu ata import kutoka China labda iwe kwa kitu wasichoweza kutengeneza.
1: Magari wameteka
2: Meli wameteka
3: Telecomunication wanateka
4: Chip wanaelekea kuwa self sufficient
5: COMAC wanakuja
Nk, mambo ni mengi. US anapanga kuweka tarrif 100% kwa magari ya China ila kwa mfano BYD's Seagull inauzwa $12,000 sasa hata ukiipiga tarrif ya 100% inakuwa bado cheap compared na gari za daraja lake mnazozitengeneza kwenu. So sijui itakuwaje ila nachojua consumer anapowekewa bidhaa 2 zenye ubora sawa pamoja na kwamba kuna vingine ata consider kama after sale services ila kikubwa ata opt ile bidhaa yenye bei nafuu. Leo Boeing yetu imekwama Malaysia kwa kukosa service ya engine, Airbus zetu nazo ziliwahi kuwa grounded kwa shida hiyo hiyo(after sale service inaanza kuwashinda wazungu). Russia wameona isiwe kesi kampuni ya S7 imeanza ku repair engine za Boeing 737 na Airbus A320 independently kabisa kwa gharama sawa na ambazo wangetoa engine manufacturer angewatoza ila pia gharama ndogo kuliko kununua 2nd hand engine kwa ajili ya spear, sasa huu mchongo akiu master mchina tumekwisha.
Screenshot_20240514-101330~2.png
Screenshot_20240514-101805~2.png
 
FEEDBACK
Wakuu, iyo issue iliopostiwa iliikuta gari aina ya Cherry Omoda 5, na nchi iliyotokea sio SA ni Malaysia.
Screenshot_20240515-010121.png


According to Cherry, wanasema magari hayo ya Omoda 5 yalitumia part mbovu katika axle ya nyuma, wamegundia iyo part mbovu imeyaathiri magari yaliyotengenezwa Tar 15 August, 2023 na wao wakaamua kuchukua sample ya magari ya kuanzia tar 14 hadi 17, wakapata magari 600.

Chanzo kikuu cha tatizo la iyo axle ni miscalibration ya vifaa vya kuchomelea walivyokua wakinadirisha tip ya kuchomelea iliyochakaa.

Source:

Chery Malaysia has contacted all 60 owners of Omoda 5 with defective rear axle, replacements scheduled - paultan.org
 
Hapo kwa boxer umedanganya baada ya pikipiki za kijapani kama Honda, Kawasaki, na Yamaha kwa hapa bongo pikipiki zinazofuata kwa uimara ni za muhindi ambazo boxer, hero na tvs.
Hizo za kichina ni daraja la mwisho kwa ubora
Nimemiliki toyo nimemiliki na boxer.
Nikitaka kushangaa TVS ishindane na pikipiki za kichina?aisee
 
Back
Top Bottom