Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

Nikweli,mfano mimi nilikua na isuzu journey min bus ile ndefu, ikawa inasumbua breki, nikaenda kwa mafundi wakasema izo isuzu mpaka ubadilishe busta ufunge busta ya hiace ndio tatizo la breki huwa linaisha,

Kwaiyo nikawaida kuna dizaini fulani za magari huwa zinatoka zikiwa na hitilfu fulani, kama Nissan duals zilivyo na tatizo la umeme
na miundombinu yetu pia ni changamoto sana unakuta mali ikitumika japan inakaa miaka 20 ila ilete bongo ikiwa mpya mwaka na miezi 6 unaskia milio
 
Kwani wewe ni mzalishaji wa haya magari mpaka nikupe input?
Mnapenda vya kuchinja sana kama una malengo ya kuwa wakala imekula kwako
[emoji23][emoji23][emoji23]......wee si mzalishaji mpaka umeleta umbea maana hii sio taarifa umeleta umbea ?..kwami thread za udaku huzijui afu ukute nabishana na mtu gari huna ni wale wajuaji sana wa magari ila account inasoma kama findings za Titration kwenye Volumetric Analysis [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuchukulie mfano mmoja tu unafikiri kati ya China na Austria au Uswisi nani mtamu kwenye spacecraft tech?
Ninasoma Masters in Industrial Engineering, huku Ujerumani hauwezi kuwa profesa bila kufanya research na kampuni kwa miaka mitano. Kuanzia Bachelor mpaka Phd thesis inabidi uandike na kampuni. Watu wanafanya research out of this world. Kabla ya kuanza shule nilijiambia nitajifunza kitu cha kuja ku-apply Tanzania. Lakini siku zinavyozidi kwenda mambo nayoyaona huku sijui kama kuna mazingira ya ku-apply niliyojifunza huku. Haturuhusiwi kutumia simu zetu ofisini tunapewa simu za ofisi. Haturuhusiwi kutumia pen drive. Laptop za ofisi zinakubali ku-connect na server katika network fulani tu. Watu wanalinda research zao. Na ninapenda kuongeza kuwa media zinadanganya sana na kubeba watu. Kuna nchi hazijulikani lakini zina makampuni yaliyo mbali sana katika research and development. Nchi kama Uswisi iko mbali sana.
 
Ulishawahi kwenda vijijini ndanindani huko barabara mbovu hatari lakini utaona pikipiki za Mchina kama Kinglion zikibeba magunia ya mkaa na bidhaa zingine

Katumie boxer au tvs uone siku 2 tu unauza skrepa
Hapo kwa boxer umedanganya baada ya pikipiki za kijapani kama Honda, Kawasaki, na Yamaha kwa hapa bongo pikipiki zinazofuata kwa uimara ni za muhindi ambazo boxer, hero na tvs.
Hizo za kichina ni daraja la mwisho kwa ubora
Nimemiliki toyo nimemiliki na boxer.
 
Ninasoma Masters in Industrial Engineering, huku Ujerumani hauwezi kuwa profesa bila kufanya research na kampuni kwa miaka mitano. Kuanzia Bachelor mpaka Phd thesis inabidi uandike na kampuni. Watu wanafanya research out of this world. Kabla ya kuanza shule nilijiambia nitajifunza kitu cha kuja ku-apply Tanzania. Lakini siku zinavyozidi kwenda mambo nayoyaona huku sijui kama kuna mazingira ya ku-apply niliyojifunza huku. Haturuhusiwi kutumia simu zetu ofisini tunapewa simu za ofisi. Haturuhusiwi kutumia pen drive. Laptop za ofisi zinakubali ku-connect na server katika network fulani tu. Watu wanalinda research zao. Na ninapenda kuongeza kuwa media zinadanganya sana na kubeba watu. Kuna nchi hazijulikani lakini zina makampuni yaliyo mbali sana katika research and development. Nchi kama Uswisi iko mbali sana.
Haujajibu swali
 
Hapo kwa boxer umedanganya baada ya pikipiki za kijapani kama Honda, Kawasaki, na Yamaha kwa hapa bongo pikipiki zinazofuata kwa uimara ni za muhindi ambazo boxer, hero na tvs.
Hizo za kichina ni daraja la mwisho kwa ubora
Nimemiliki toyo nimemiliki na boxer.
Umeelewa nilichoandika?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]......wee si mzalishaji mpaka umeleta umbea maana hii sio taarifa umeleta umbea ?..kwami thread za udaku huzijui afu ukute nabishana na mtu gari huna ni wale wajuaji sana wa magari ila account inasoma kama findings za Titration kwenye Volumetric Analysis [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi kabisa tajiri wa jamii forum
Unamiliki fleet za howo na faw
 
Hapo kwa boxer umedanganya baada ya pikipiki za kijapani kama Honda, Kawasaki, na Yamaha kwa hapa bongo pikipiki zinazofuata kwa uimara ni za muhindi ambazo boxer, hero na tvs.
Hizo za kichina ni daraja la mwisho kwa ubora
Nimemiliki toyo nimemiliki na boxer.
Muongo huyo boxer hasa hizi mpya HD na hizi zilizotolewa na s100 kwa maafsa ugani ziko vizuri sana vijijini huko ni vyombo tofaut kinglion, toyo haojue sinoray fekon sanlg na upuuzi mwingne ukitumia miezi 3 huko vijijini pikipiki zinarudi kwao china
Zinataka ufanye overhaul pikipiki nzima haswa zinakufa.mikono zikipigwa na mvua kisawa sawa spoket mtihani
 
Back
Top Bottom