Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hakuna nchi itayomzidi maendeleo na technologia mzungu. Mzungu ukiwa mpambanaji na akili anakupa haki yako. Lakini Uchina,Uhindi na Uarabuni. Kama sio mwenzao na sio wa tabaka fulani hawawezi kuruhusu uishi kama wao. Na cha kuongeza wanabaguana wao kwa wao sembuse mgeni ? Wakina Dewji wenyewe walikimbia Gujirati maana waislamu wa Gujirati walikuwa wanabaguliwa.Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi
Hakuchukua muda mrefu
Chuma inayoshikilia tairi limekatika