The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Unasema hiyo habari umeikuta Facebook sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari yoyote ili iingie sokoni ni lazima ipite kwenye viwango vya kidunia vinavyokubalika,sasa hii ilipitia wapi,na miaka ya hivi karibuni hawa miamab wametengeneza ndege yao,sasa kwa mwendo huu ni hatari sana...Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi
Hakuchukua muda mrefu
Chuma inayoshikilia tairi limekatika
Unajua mambo ila changamoto za hizo mambo hutaki uambiwe?Siku nyingine kabla ya kupost fanya utafiti ujiridhishe hizi platforms watu wanajua mambo usidhani utawachota tu kirahisi
Kama al jazeera wana page facebook inakuwaje hawa wasauzi waonekane waongo kwa vile wametoa habari ambazo ziko kinyume na mrengo wako?Unasema hiyo habari umeikuta Facebook sio?
Mkuu Hilo liloletwa ni gari 1, na sote hatujui ni ajali ama ni Nini kimepelekea matokeo hayo Kwa Hilo gari.Mchina haaminiki,anabahatisha..hawezi kuwa na consistency ya ubora.
Kifupi tu kumwini mchina ni kujiweka rehani tu
Brand gani ya kichina imetengeneza gari kuanzia 2010 kushuka chini bado liko sokoni au linapiga kaziSio hapa tu Tanzania, Chinese buses zinatawala worldwide
Kwa sasa Yutong ndiye anayeongoza kwa mauzo ya buses
Katika top 10 ya mabasi yanayouzwa zaidi duniani Mchina ana brands 5
So kuna range za muhindi sasa ivi kumbeBenz ni fahari ya mjerumani yaani kama wimbo wao wa Taifa
Wengi wametaka kununua ila mjerumani kagoma kuiuza
Mhindi kanunua Range ila sio Benz
Mchina baiskeli za umeme zinalipuka kila leo, ila uzuri magari yao hakuna ulaya
Africa tutanunua kwa kitonga chake tu
Mjombq hiyo coaster ya mil 300 unapata Yutong moja au Zhong Tong Mega 1 unapiga kazi dar - mwanzauwezo wetu ndipo ulipo,angalia nchi zinazotuzunguka kuna brand tofauti za mabusi lkn hapa kwetu ni mchina tu kwa sababu ya kitonga.Kenya unakuta kuna benz,scania,man,isuzu,nissan....hivi unajua toyota coaster 0km inafika hadi mil 300?new model zimetoka mwaka gani lkn hapa kwetu kuikuta ya miaka 5 nyuma ikiwa daladala haiwezekani achilia mbali kuwa special hire!
Ununue coaster jipya kwa 300mln ulifanye daladala iyo ela itarudi lini na uanze kula faida🤔🤔🤔uwezo wetu ndipo ulipo,angalia nchi zinazotuzunguka kuna brand tofauti za mabusi lkn hapa kwetu ni mchina tu kwa sababu ya kitonga.Kenya unakuta kuna benz,scania,man,isuzu,nissan....hivi unajua toyota coaster 0km inafika hadi mil 300?new model zimetoka mwaka gani lkn hapa kwetu kuikuta ya miaka 5 nyuma ikiwa daladala haiwezekani achilia mbali kuwa special hire!
Ni wapi nimesema kua hiyo taarifa ni ya uongo? mrengo wangu ni upi mpaka wewe uhukumu kua nataka habari za mrengo wangu?Kama al jazeera wana page facebook inakuwaje hawa wasauzi waonekane waongo kwa vile wametoa habari ambazo ziko kinyume na mrengo wako?
Tata walinunua Range Rover na JaguarSo kuna range za muhindi sasa ivi kumbe
Muhindi kanunua mpaka starlet
Ni kweli nimeyaona mabasi ya mchina UK ila sio mengi lakini yapoBYD wamefungua kiwanda Hungary
Chery wana mpango wa kufungua kiwanda Spain
BYD electric buses wana kiwanda Marekani
Electric buses nyingi za Ulaya ni za kutoka China
Mabasi ya kichina miaka 5 tu linanyanyua mikono juuBrand gani ya kichina imetengeneza gari kuanzia 2010 kushuka chini bado liko sokoni au linapiga kazi
Ukitoa
Iveco
Mercedez Benz
Scania
Volvo
Povu ruksa
Kuliko wabongo! Wabongo wangechonga ubao na kuupaka rangi ya silver na chrome mpaka ukubali uonekane chuma, chezea bongo wewe!Sawa watetee ila ukweli mnaujua
Wachina watu wa hovyo sana
Nikweli,mfano mimi nilikua na isuzu journey min bus ile ndefu, ikawa inasumbua breki, nikaenda kwa mafundi wakasema izo isuzu mpaka ubadilishe busta ufunge busta ya hiace ndio tatizo la breki huwa linaisha,mleta mada una kaushamba ka magari kwanza hatujui chanzo cha tatizo pili hata hizo benzi zinakatika matairi au kufumuka boneti zikiwa zimepaki ila kwakua upo kutetea upande fulani basi hatukupingi ila vyuma kuharibika ni kawaida sana labda kama hujawahi miliki au una kaushamba fulani
Anatengeneza sawa na thamani ya pesa yako, ubora utajua mwenyewe..Mchina haaminiki,anabahatisha..hawezi kuwa na consistency ya ubora.
Kifupi tu kumwini mchina ni kujiweka rehani tu
Tata si mchezoTata walinunua Range Rover na Jaguar
Ni JLR
Ni kampuni kubwa sana na wanatengeneza vitu vingi sanaTata si mchezo
Ova
YutongBrand gani ya kichina imetengeneza gari kuanzia 2010 kushuka chini bado liko sokoni au linapiga kazi
Ukitoa
Iveco
Mercedez Benz
Scania
Volvo
Povu ruksa