Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hamna anachojua ni mpiga domo tuUkiangalia kila comment anaponda tu hapo ndio naona ana shida kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna anachojua ni mpiga domo tuUkiangalia kila comment anaponda tu hapo ndio naona ana shida kidogo
Mchina haaminiki,anabahatisha..hawezi kuwa na consistency ya ubora.Yani Kampuni zinazomchallenge Tesla mpaka anachanganyikiwa mkuu unakuja na hoja ya namna hii...
Hatujui Nini kimeikumba gari, wewe unafanya summation...
Kuna gari zinakatika matairi au mjomba umepovuka bure? Yaani utoe yard gari with 0 km halafu chuma inayaounganisha tairi na bodi ikatike tu uko vizuri kichwani?mleta mada una kaushamba ka magari kwanza hatujui chanzo cha tatizo pili hata hizo benzi zinakatika matairi au kufumuka boneti zikiwa zimepaki ila kwakua upo kutetea upande fulani basi hatukupingi ila vyuma kuharibika ni kawaida sana labda kama hujawahi miliki au una kaushamba fulani
Sawa umeamua kuswitch acvount nyingne uje kulia vizuri baada ya ile ya mwanzo utaonekana mshamba 🤣🤣Hamna anachojua ni mpiga domo tu
Umeumia? 🤣Mwehu huyu mleta uzi
Kwani wewe ni mzalishaji wa haya magari mpaka nikupe input?Sema mkuu yani we mwenyewe umeleta mada inaonekana bado kabisa unaponda ...hujaleta input kua nini kilitokea mpaka gari ikawa ivyo...yani ume base kwenye lawana tuu
Nenda mtandaoni utaikutaUnajua bei ya hilo gari?
Nina akaunti moja tu hapa jfSawa umeamua kuswitch acvount nyingne uje kulia vizuri baada ya ile ya mwanzo utaonekana mshamba 🤣🤣
Siku nyingine kabla ya kupost fanya utafiti ujiridhishe hizi platforms watu wanajua mambo usidhani utawachota tu kirahisiUmeumia? 🤣
Wa hovyo kupindukia, dunia nzima wanatengeneza fake products, including cars, vinywaji fake, fake fake fake..!!Sawa watetee ila ukweli mnaujua
Wachina watu wa hovyo sana
Asilimia 90 ya safari ndefu Tanzania tunatumia Chinese busesMchina haaminiki,anabahatisha..hawezi kuwa na consistency ya ubora.
Kifupi tu kumwini mchina ni kujiweka rehani tu
uwezo wetu ndipo ulipo,angalia nchi zinazotuzunguka kuna brand tofauti za mabusi lkn hapa kwetu ni mchina tu kwa sababu ya kitonga.Kenya unakuta kuna benz,scania,man,isuzu,nissan....hivi unajua toyota coaster 0km inafika hadi mil 300?new model zimetoka mwaka gani lkn hapa kwetu kuikuta ya miaka 5 nyuma ikiwa daladala haiwezekani achilia mbali kuwa special hire!Asilimia 90 ya safari ndefu Tanzania tunatumia Chinese buses
Karibu asilimia 60 mizigo inasafirishwa na Chinese trucks hapa Afrika Mashariki na Kati
Asilimia 50 ya meli kubwa za mizigo container ships, LNG tankers, oil tankers duniani ni za Mchina
Asilimia 90 ya electric buses duniani ni za China
Sio hapa tu Tanzania, Chinese buses zinatawala worldwideuwezo wetu ndipo ulipo,angalia nchi zinazotuzunguka kuna brand tofauti za mabusi lkn hapa kwetu ni mchina tu kwa sababu ya kitonga.Kenya unakuta kuna benz,scania,man,isuzu,nissan....hivi unajua toyota coaster 0km inafika hadi mil 300?new model zimetoka mwaka gani lkn hapa kwetu kuikuta ya miaka 5 nyuma ikiwa daladala haiwezekani achilia mbali kuwa special hire!
Ulitaka gari 0km ununue kwa shilingi ngapi?hivi unajua toyota coaster 0km inafika hadi mil 300?new model zimetoka mwaka gani lkn hapa kwetu kuikuta ya miaka 5 nyuma ikiwa daladala haiwezekani achilia mbali kuwa special hire!
Nimekuja na ku scroll down kutafuta mchango wako nikaridhika.Chery Omoda 5 hii.. Hatujui kilichoikumba ngumu kujudge.
Hamzidii chidiiibenzNimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi
Hakuchukua muda mrefu
Chuma inayoshikilia tairi limekatika
Au "bito"🙂...na starlet pia.
Ilo linajulikanaSawa watetee ila ukweli mnaujua
Wachina watu wa hovyo sana
KatoroliBora nibaki na haka ka Crown kangu.