Tuliambiwa mgawo wa umeme ni kupungua kwa maji kwenye mabwawa ya kuzalisha. Mito imefurika, lakini mgawo mkali unaendelea, Kwanini tunadanganywa?

Tuliambiwa mgawo wa umeme ni kupungua kwa maji kwenye mabwawa ya kuzalisha. Mito imefurika, lakini mgawo mkali unaendelea, Kwanini tunadanganywa?

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,270
Reaction score
2,822
IMG-20231112-WA0011.jpg
 
Na cha kushangaza huyu Makonda wao naye hata hatii neno hapa au kumpa amri Doto Biteko (waziri wa nishati) ya kwamba "kuanzia kesho mgawo wa umeme iwe mwisho....!"
 
Hii nchi ni laana, viongozi nao ni sehemu ya hiyo laana
 
Watakwambia mafuriko yabomoa miundombinu ya mabwawa ya kuzalisha umeme hivyo tutegemee mgao maradufu.
 
si tuliambiwa huwa wanayafungulia makusudi ili yapungue ili waibe vizuri sasa.
 
Huku kwetu baada ya mvua mgao umekata, tulikuwa tunakatiwa hadi mara tatu kwa week
 
Huku kwetu tokea asubuhi saa tatu mapaka muda huu saa tano kasoro hatuna umeme!
 
Back
Top Bottom