Mzee yusufu kwemye dunia kaharibu akakimbilia kwenye dini, nako kwenye dini akaharibu kisha anataka kurudi tena kwemye dunia ambako alishaharibugi kitambo.Atajijua na balaa lake, alijidai kumpenda mungu, kajaribiwa kidogo na dhiki yamemshinda, ni aidha ana mwisho mbaya kidunia ama hatowika tena, hiki ndio nilifikiri pale tu niliposikia anarudi kwenye taarabu.
Kuna hadithi moja"bwana mmoja alimfata mtume s.a.w akamwambia anampenda, basi mtume akamwambia ajiandae kwa dhiki na mitihani mingi mingi"
Kazi ipo.. Apambane na hali yake.Mzee yusufu kwemye dunia kaharibu akakimbilia kwenye dini nako kwenye dini akaharibu kisha anataka kurudi tena kwemye dunia ambako alishaharibugi kitambo.
Kutoboa kwa taarafu kwake yeye kwa sasa ni ngumu
Hakuna namna mkuu apambane tuKazi ipo.. Apambane na hali yake.
Aisee......MKUU BAHATI HUWA HAIJI MARA MBILI,KAMA ALISHINDWA KUITUMIA MWANZO AKALIME BAMIA TU.
Amechemka...sijui aende upande upi sasaUpepo wake ulishapita. Halafu mziki wa taarabu umepungua sana umaarufu wake sio kama zamani. Alikua ana mpango wa kuja kwa kasi ila jamii imeshindwa kumpokea kwa kasi
👍 👍Haha juzi tu nimewaza juu ya huyu mzee na kauli zake za kejeli huko YouTube.
Niliwahi hudhuria shoo yake hivi karibuni, aah aisee, uwezo wa kuimba Hana tena,(pumzi& performance), watu tulikuwa wachache mno,lol better angebaki kushika Dini tu,maana anasikitisha
dah!!! mkuu ulichoongea hapa kikibadilishwa na kuwa kilograms sidhani km utaweza kukibeba!!!MKUU BAHATI HUWA HAIJI MARA MBILI,KAMA ALISHINDWA KUITUMIA MWANZO AKALIME BAMIA TU.
inasikitisha.....maisha yanakimbia sana sana sana!Upepo wake ulishapita. Halafu mziki wa taarabu umepungua sana umaarufu wake sio kama zamani. Alikua ana mpango wa kuja kwa kasi ila jamii imeshindwa kumpokea kwa kasi