Tuliambiwa Mzee Yusuph anarudi kwa kasi ya ajabu, sijafanikiwa kusikia chochote hadi sasa

Kizazi cha kupanga mduara kucheza taarab kinapotea (wanazeeka), now days hivi viswaswadu uswahilini kwenye vigodoro wanataka singeli watimue vumbi. Mchawi singeli.
duu, sikutegemea km singeli ingefikia hapo kwa kweli
 
aisee, na huko maulamaa sijui kama watampokea tena........saa hizi wanamcheki tu!
 
Mzee yusufu kwemye dunia kaharibu akakimbilia kwenye dini nako kwenye dini akaharibu kisha anataka kurudi tena kwemye dunia ambako alishaharibugi kitambo.

Kutoboa kwa taarafu kwake yeye kwa sasa ni ngumu
dah!!!!!!
inatafakarisha sana
 
loh! atakuwa ni mbishi sana au hana washauri wazuri.........nina mashaka na mkewe ambae alikuwa anaendelea na kutumbuiza
 
duu, sikutegemea km singeli ingefikia hapo kwa kweli
Mkuu hatari sema hii elimu yangu inanifanya nisisogelee vigodoro vya kitaa. Kuna siku nipo kitaa kingine nikasema ngoja nikacheki asee hivi vitoto under20 (vikina paula) ikipigwa hiyo singeli huezi amini vinavyotikisa t*ko moja 1.
Sasa mambo ya miduara nani atataka
 
aisee, ngoja siku moja nifanye kama nimepotelea hivii nikajionee mambo
 
mfalme anaendelea kufanya vizuri tena uzuri amewarudisha kundini wasanii wake kama vile fatma mcharuko,rahma machupa messi,mtoto pori kwa hiyo mambo yanazidi kunoga.
 
mfalme anaendelea kufanya vizuri tena uzuri amewarudisha kundini wasanii wake kama vile fatma mcharuko,rahma machupa messi,mtoto pori kwa hiyo mambo yanazidi kunoga.
ni jambo jema km ni hivyo!
 
Ngoja waje waendaji dar alive kukupa jibu unalolitaka.
 
Mzee aliwatelekeza Mashabiki zake ghafla bin vuu.....wakahangaika weeh hatimaye ikatokea singeli ikawaliwaza!! Sasa amerudi kakuta watu hawana habari tena na taarabu....mbaya Zaid ni kwamba sijui hakujipanga ujio wake ni Kama hauna jipya style ni ileile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…