Tuliambiwa Mzee Yusuph anarudi kwa kasi ya ajabu, sijafanikiwa kusikia chochote hadi sasa

dah!
 
ameshaanza jmosi hii atakuwa Soweto Park Malamba Mawili.
 
Asharudi kwa kasi, sema
Zuchu kakata upepo wake
 
Hivi kuna mtu mpaka leo karne ya 21 bado anaskiliza sijui taarabu?
 
Ukimtoa Ali Kiba na Dully sykes ni ngumu kwa msanii mwingine kusimama kimuziki na baadae kurudi mainstream.. mfano Prof Jay nae anahangaika lakini bado imekuwa ngumu.. huu ni wakati wa kina Zuchu, whozu, gigy money, amber ruty, young lunya, bill nas, na kina harmonize. Wasanii wa zamani ni bora wakajichanganya kwenye mambo mengine ya kujipatia riziki.
 
Mungu hadhihakiwi
 
Mi namshaur prof jay , aende WCB akatulie ale pensheni ... Jamaa bado anakubalika Sana Clouds na akina EFM hawawez msaidia chochote Zaid ya kumpamba na kumuita ni legendary
 
Kwahiyo Mtume Mwamedi akafanya yake
 
Mzee yusufu kwemye dunia kaharibu akakimbilia kwenye dini, nako kwenye dini akaharibu kisha anataka kurudi tena kwemye dunia ambako alishaharibugi kitambo.

Kutoboa kwa taarafu kwake yeye kwa sasa ni ngumu
Aanze kuimba kwaya
 
umemsahau Byser Mr Blue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…