Tuliambiwa Samia atakuwa mgeni rasmi Nyerere day

Huko Tia maji tia maji kutahamaki uchaguzi huoooo..!!

Nilikua natania tu mjomba, ila nikipata nauli mjini nitakuja kuwasalimia..!!
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amemuwakilisha Samia kuadhimisha kumbukumbu ya siku ya Nyerere.
Mawazo yako kutwa kucha wamuwazia Samia tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…