F Footstep JF-Expert Member Joined Oct 27, 2026 Posts 383 Reaction score 594 Nov 1, 2026 #1 Mbowe bilionea Mbowe ana hailcopter, Mbowe ana majumba kibao maghorofa na viwanda Hadi nje ya nchi, Sasa kwanini utake kurudi siasa ni upate hasara tena? Fanya biashara, si uliomba kustaafu? Yu wapi Chacha wangwe?
Mbowe bilionea Mbowe ana hailcopter, Mbowe ana majumba kibao maghorofa na viwanda Hadi nje ya nchi, Sasa kwanini utake kurudi siasa ni upate hasara tena? Fanya biashara, si uliomba kustaafu? Yu wapi Chacha wangwe?