Tulianza kuwasha moto Afrika Kusini, leo basi limeingia kinyumenyume! Tumebakiza kutoa haja kubwa tu viwanjani ili tushinde

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde.

Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili tushinde / washinde.

Hovyo kabisa.
 
Acha hasira mwana thiiimba!
 
We bwege kweli,,wewe si ndio umekuja hapa unajisifu mmefanya uchawi ya kwamba Raja hatoki kwa mkapa na wewe umeshiriki kwenye tukio hilo kikamilifu๐Ÿ˜€


Kwa porojo zako hizi halafu watu eti wameipigia kura Id yako ile kwamba ndio mwanamichezo bora jukwaa hili niliwashangaa sana wanajf,waliokupigia kura wanawakilisha jamii kubwa ya watz wapenda majungu,umbea na porojo kama wewe mleta mada
 
Kuna mchezaji
Mrefuuuuu kama Mwanzi akiwa na mpira unaweza sema twiga anavuka barabara mchezaji wa hovyo ,halafu anacheza midle eti hovyo kabisaaaa
Mara 100 na jonas mkude

(maneno ya mlevi mmoja hapa , Mbezi makonde)
 
Anajikosha
 
Mtani pole kwa kipigo..
Pole kwa ulozi
 
hahahaha,akili za watanzania ni ndogo sana
 
Umemaliza Kaz ,popoma Ni mbumbumbu mwandamizi Jana tu aliandika usi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Gari la wachezaji kutoka Mbezi mpaka Kwa Mkapa kinyume ni zaidi ya kuwasha moto pale south [emoji3][emoji3]
 
H
la wachezaji kutoka Mbezi mpaka Kwa Mkapa kinyume ni zaidi ya kuwasha moto pale south [emoji3][emoji3]
Hivi wametoka mbezi Hadi kwa mkapa kinyume nyume!?
 
Wewe kweli entertainer leo hii unapinga mambo ya kiswahili katika soka la bongo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ