Tulianza kuwasha moto Afrika Kusini, leo basi limeingia kinyumenyume! Tumebakiza kutoa haja kubwa tu viwanjani ili tushinde

🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi sio wewe ulijisifia kwa uchawi wenu humu!!!
 
Na wale Vipers watakuja kupaka sumu kwenye majeraha ya Tai.
Tuendelee kubinuka kinyume nyume.

Kenge maji waganga wote walioaibisha Taifa.
 
Wachezaji wenyewe kina boko na baleke.
Simba itafute muwekezaji mwingine。
Mo ni bahili sana.
Mleta uzi huu, yeye ndiye kinara wa kushabikia ULOZI! Hebu fuatilia mabandiko yake yote, kila Simba ikiwa na mchezo, ni kuongelea kuroga tu, ili Simba ishinde. Jaribu kumfuatilia kwa ID hii, au zile zingine!
 
Kumbe MINOCYCLINE ana ID nyingine baada ya hii? Nilikuwa sijui hili na Asante kwa Taarifa.
 
Mkuu, linapofika swala la upigaji kura, usiwaamini watanzania hata kidogo. Huwa wanapiga kura kwa hisia, na sio utashi. Ukitia huruma kidogo tu, wanakupigia kura.

Sina hamu nao, tokea walipomtosa Kala Jeremiah na kumpigia kura Jumanne Idd kwenye bongo star search kisa ni yatima 😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…