DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Miaka 15 ilopita bila shaka unazungumzia 2005.Miaka 15 iliyopita kulikua na Bajaji jmn??? Hi ni chai kabisa
Mi nakumbuka 2002 nimewah panda bajaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 15 ilopita bila shaka unazungumzia 2005.Miaka 15 iliyopita kulikua na Bajaji jmn??? Hi ni chai kabisa
Dah mijimama ya hivyo utakuta limejichubua mbaya,afu mkorogo ukadunda dah,ngozi full mabakabaka.na jamaa anaoneshwa njia zote lakini anajidai haoni
Hicho nacho ni Cha Mtoto
Ujue mapenzi ni Moyo kwa hiyo km moyo haupendi ni vigumu sana, hata mjomba kusimama hawezi.Tatizo ulishindwa kujiongeza Mkuu, wala hakua na shida na wewe wala kodi zako