Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Kulinda nchi haimaanishi utoe hukumu nje ya mahakama. Watuhumiwa wapelekwe mahakamani na si kuwateka na kuwaua“Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Hivi siyo kulinda nchi ni kuharibu nchi“Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan