Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Kuna muda unawaangalia wapumbavu humu JF unashindwa kuelewa nani aliyewaroga unakosa majibu,hivi nyie mmezaliwa Tanzania hii hii au labda kuna nchi mlitoka tofauti na hii?[emoji2]au labda kusoma ndiko hujui?
Nilichosema hapo ni kuwa hao wanafunzi 12 ndiyo waliomaliza form 4 kwa mwaka wa kwanza toka shule hiyo ianzishwe mwaka 2003 na walifaulu wote! Kwenda shule za michepuo ya sayansi!.,Huko ni kijijini na yawezekana wanafunzi walikuwa hata 20 ila kwasababu ya mambo ya Bush wakawa wanapungua na waliofanya mtihani wakawa 12,sasa hapo wewe mwenye akili ambacho huelewi ni nini?.

Halafu wewe unataka kunilazimisha kwenye banda nililipa 500 wakati mimi ndiye niliyekuwa nalipa 100[emoji23][emoji23],yaani wewe kwa akili yako unaona mia ya mwaka 2004 ilikuwa ndogo,hebu tuambie wewe uko ulipokuwa mlikuwa mnalipa shi ngapi!,yaani mtu anataka akulazizimishe useme ambacho hata hukufanya ilimradi tu yeye alidhike[emoji23],Hilo swali la kwanini tulilipa shilingi 100 alipaswa ajibu mtu wa banda na siyo mimi mlipaji,pengine gharama za vifurushi vya dstv vilikuwa bei chee ili kuwavuta wateja wengi,siwezi jua,sasa kama mjini tulikuwa tunalipa shilingi 200 iweje kijijini kusiko na biashara na mzunguko wa hela tulipe 200?,Unajua kama kuna maisha hukuwahi kuyaishi usiwe unakaa mbele ya wanaume unavimbisha kitambi na tumbo lako kwa ubishi![emoji23],Na ndiyo maana nikasema mwenye banda alikuwa akisubiri mpaka muda wa gemu uanze ndipo anawasha,yale mambo ya kuangalia uchambuzi yalikuwa hamna!.

Wewe nahisi kichwani hazikutoshi T14 Armata

Mkuu kumbe hujajua???HUMU JF HAWA HUWA TUNAWAITA WAJUAJI WA JF hawa kila kitu wanajua..wazoee tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachawi ni wakorofi sana

Umenikumbusha kuna jamaa baada ya kufika shinyanga karibu na gamboshi wakapewa story za gamboshi na wakaelekezwa hata hapakuwa mbali kihivyo,sasa siku material ya ujenz yameisha hawakuwa na kazi wakaamua watembee tembee na wakaamua wakapaone gamboshi walitembea sana mpaka ikafika jion na hawakupafikia mpaka wakakata tamaa ikabid warudi,ile kurudi hata nusu saa haikuisha wakawa wamefika shuleni walipokuwa wanafanya ujenzi,hao jamaa kesho yake waliamka wamenyolewa vipara

Zabron
 
...
20220925_210955.jpg
 
Hiyo chelsea ya 2004 arsenal wanakaa 2-1
Lampard
Makelele
Bridge
Godjonsen
Crespo
Dah.. miaka inasepa sana
Hivi Ile Arsenal kupigwa na Barca ulikuwa mwaka gani? Nakumbuka golikipa wa Arsenal alipigwa red kadi kwa kumdaka mguu Etoo
 
Back
Top Bottom