Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Mtoto kameza shoka🤣
 
Vumilieni waungwana, dozi mbili kwa siku

Mara ya 1 ilikuwa kutwa mara 3
 
Interesting.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mi naomba tuwe wapole. Hawa waleta story wanafanya kwa ridhaa sio kwa malipo na kazi za ridhaa mtu hzifanya akimaliza kazi zake za msingi za kujipatia riziki
Haingii akilini mtu aache mishe mishe zake ili awasimulie stori tu ambayo haimuingizii kipato. Na ndio maana Victim aliamua kuchaji pesa Ila watu mkakasirika. Tuwe wapole tu
 
Hold on your gut please. Instant gratification Ni mbaya. Kwani akikuwekea zote ukazisoma ikamaliza unadhani utaongezeka nini. Tafuta kitabu usome ujue hata garlic na ginger inasaidia Nini mwilini. Naijua brain haipendi vitu vya maana ama vinavyotoa maumivu kichwani Bai kazi yake Ni kutafuta raha na iyo Raha huwezi tosheka Ni sawa na kuvuta hewa.


Yaani bana mie hata akitoa moja kwa mwaka Niko okay.


Yaani unataka akae hapa ili akuridhishe hisia zako wewe yaani afanye kulingana unavyotaka.

Unajua kuwa ukiamka asubuhi ukanywa maji ya uvuguvugu yenye limao na asali utaweza kukusaidia kiafya kiasi gani. Najua Ni rahisi mno kunywa soda na chipsi kuliko uji wa ulezi usio na sukari pamoja na mihogo iliyochemshwa.


Smt fanya vitu against na ubongo wako unavyotaka,hapo ulipo Ni vingapi umeshajaribu kuvitafuta na hukuvipata.


Please grown up,Kama vipi Basi usiwe unazisoma hizi story Kama zinakukera yaani fanya ishu zingine achana na story za humu.


Kazi ya ubongo Ni kukufanya usipate maumivu kwa namna yyte hata kwa kuongopa kwako wewe. Yaani umepoteza hela Ila inabidi ikudanganye kuwa Mungu atakulipia Mara what goes around comes around.


Pia na kukutafutia Raha ama pleasure kwa gharama zozote zile.


Ukitaka uishi vizuri jaribu ku reverse kaI ya ubongo utaishi vizuri.


Yaani to be rich or successful you do against nature ilichokupatia.


Jiulize Ni kwa Nini unapenda kucheki mno social networks kuliko kujisomea kitabu kinachokupa maarifa fulani ya maana. Mfano mtu aliyepatwa na stroke sijui Nini ghafula umpe huduma ya kwanza hujui Ila unajua mechi zote alizocheza yanga since 1800s so what zitakusaidia Nini na kizazi chake.

Hujawahi cheki afya yako ama hujui ufanye uzoezi uboreshe afya Ila unajua magoli aliyofunga ronado utadhani ndio history utakayokuja kusimulia wajukuu zako huku ukijitapa mbele zao.


Wengine na nyie bana mnakera. Jamaa ana Mambo yake hujamuajiri akuburudishe ama akuridhishe hisia zako,hujamnunulia bando ama hujui Kama yamepanda na huku ukiombwa buku unakuja kutapika mtandaoni.

Listen my sister/brother life is about 95% mindset na 5% ndio Ile action yenyewe.

Kikuingiacho hakikutii unajisi Bali like kikutokacho.

Saivi kimekutoka kitu kimekuletea pains kwa ubongo wako.


Hebu soma virus and bacteria wako favoured na pH ipi na body pH inatakiwa iwe ngapi standard.
 
Sawa Mkuu tumekuelewa. Enhee so what's the agenda now anaendelea au haendelei?
 
Hii nzuri sana, nimeipenda unaweza kuwa mshirika mzuri.
 
Sawa Mkuu tumekuelewa. Enhee so what's the agenda now anaendelea au haendelei?
Kwani alipouleta aliandika ajenda mkwekeana terms and conditions kuwa atakuwa analeta. Mbona analeta stori mkuu wewe tulia usipoikuta cheki ishu zingine za Mana ama hazipo ninayo koneksheni ya kigogo mmoja wa juu kabisa imevuja iyo ya Moto nikupe ili huo ubongo uwe bize.

Ila jifunze meditation,budha brain how to think like monk. You've to learn how to stir your mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…