Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Jiooooni ya leo

Kila mtu ajitungie muendelezo wa stori ya umughaka...then tuipigie kura ili huyo muhisika aipige Hadi mwisho
 
Kuna kitu nmekielewa kuhusu hii post kuwa tu mkweli
 
Asante kwa usimuliaji mzuri na moyo wa kuandika. Tunazisubiri episodes zingine mkuu.
Pole kwa yaliyokukuta huko bunju mkuu.
 
Hapo pa kupigwa viboko assembly na wewe si mwanafunzi utunzi wako haujaenda sawa. HAIWEZEKANI. unapotunga jaribu kuwa makini sana ili usitoke sana mbali ya Uhalisia. Haijawahi tokea kosa la nyumbani mtu akaadhibiwe Shuleni tena si mwanafunzi.

Hapo uwe makini.
 
faza mnoko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usisahau mwalimu mkuu ni mkurya🤣
 

Wewe unaongelea maisha ya sahiz ndg but sisi tuliosoma miaka ya tisini ni jambo la kawaida sana babako akiwa hata mwl wa kawaida anaweza kukuita shulen na akakuchapa mbele ya wanaumfunzi anakuwa anaonesha kuogopwa na ubabe tu wa wazee wetu wakoroni so acha ubishi
 
Niambie kemendi muriba bughucha bungurere ghebasisi itiryo nyanungu ghibaso keribho mangucha ghokemange ghukimusi kimusi nyantira masanga
Maeneo yangu hayo nimefundisha bungurere nikiwa nakaa kemende kwa Akina gisero kabati hahaaaaaa
 

Hii nayo fungulia uzi baba Monica, JINSI MAPENZI YALIVYOTUTESA KWENYE DHAMANA

🤣🤣🤣🤣
 
Hii story ya UMUGHAKA naweza kuimalizia mimi yaani episode 5 leo kesho tena 5 nitakua nimemaliza afu kila mtu aendelee na biashara zake

Au mnasemaje
 
Pole kwa changamoto.
Fanya yakupasayo kufanya relax then ukiwa free share your story comfortably.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…