Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Jiooooni ya leo

Kila mtu ajitungie muendelezo wa stori ya umughaka...then tuipigie kura ili huyo muhisika aipige Hadi mwisho
 
Hello ndugu zangu nisameheni sana!,leo nilipeleka chombo(pikipiki)kwa fundi tangu asubuhi,baada ya hapo nikaelekea Kituo cha polisi Gogoni huko luguruni mbezi ya kimara,kuna ndugu yangu mtoto wa shangazi alipigana jana wakati wanakunywa pombe kwenye baa moja huko mbezi sasa walifanya vurugu kubwa mno hatimaye mmiliki wa lile eneo akaita defenda ikamkamata,chanzo cha yote ni wanawake.
Sasa nimeshindwa kutwa pamoja na ndugu wengine tukihangaikia dhamana!,aiseee tumehangaika sana na hatimaye tumemtoa ndani na imetutoka hela nzuri tu!,nimetoka huko mida ya saa 11 jioni ikabidi tena twende kumpeleka mama yake anakaa gongo la mboto.

Hivyo ndugu zangu siku yangu imeisha hivyo!.Unajua ndugu ni ndugu tu haijalishi kafanya nini ni lazima mtahangaika kwa alichokifanya!.

Halafu pia ndugu zangu kumbuka hiki kisa kifupi nilianza tu kukisumulia kwa niaba ya mafunzo,kuna muda nikiwa kijiweni nisipo kuwa na abiria basi huwa nakaa naandika,ila abiria wakiwa wengi napiga kazi then nikifika nyumbani naendelea,hivyo mniwe radhi!.

Mimi nawapenda na tutamaliza tu ndugu zangu maana bado episode mbili tatu hivi tumalize!
Kuna kitu nmekielewa kuhusu hii post kuwa tu mkweli
 
Asante kwa usimuliaji mzuri na moyo wa kuandika. Tunazisubiri episodes zingine mkuu.
Pole kwa yaliyokukuta huko bunju mkuu.
 
Hapo pa kupigwa viboko assembly na wewe si mwanafunzi utunzi wako haujaenda sawa. HAIWEZEKANI. unapotunga jaribu kuwa makini sana ili usitoke sana mbali ya Uhalisia. Haijawahi tokea kosa la nyumbani mtu akaadhibiwe Shuleni tena si mwanafunzi. Hapo uwe makini.
faza mnoko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo pa kupigwa viboko assembly na wewe si mwanafunzi utunzi wako haujaenda sawa. HAIWEZEKANI. unapotunga jaribu kuwa makini sana ili usitoke sana mbali ya Uhalisia. Haijawahi tokea kosa la nyumbani mtu akaadhibiwe Shuleni tena si mwanafunzi. Hapo uwe makini.
Usisahau mwalimu mkuu ni mkurya🤣
 
Hapo pa kupigwa viboko assembly na wewe si mwanafunzi utunzi wako haujaenda sawa. HAIWEZEKANI. unapotunga jaribu kuwa makini sana ili usitoke sana mbali ya Uhalisia. Haijawahi tokea kosa la nyumbani mtu akaadhibiwe Shuleni tena si mwanafunzi. Hapo uwe makini.

Wewe unaongelea maisha ya sahiz ndg but sisi tuliosoma miaka ya tisini ni jambo la kawaida sana babako akiwa hata mwl wa kawaida anaweza kukuita shulen na akakuchapa mbele ya wanaumfunzi anakuwa anaonesha kuogopwa na ubabe tu wa wazee wetu wakoroni so acha ubishi
 
Niambie kemendi muriba bughucha bungurere ghebasisi itiryo nyanungu ghibaso keribho mangucha ghokemange ghukimusi kimusi nyantira masanga
Maeneo yangu hayo nimefundisha bungurere nikiwa nakaa kemende kwa Akina gisero kabati hahaaaaaa
 
Hello ndugu zangu nisameheni sana!,leo nilipeleka chombo(pikipiki)kwa fundi tangu asubuhi,baada ya hapo nikaelekea Kituo cha polisi Gogoni huko luguruni mbezi ya kimara,kuna ndugu yangu mtoto wa shangazi alipigana jana wakati wanakunywa pombe kwenye baa moja huko mbezi sasa walifanya vurugu kubwa mno hatimaye mmiliki wa lile eneo akaita defenda ikamkamata,chanzo cha yote ni wanawake.
Sasa nimeshindwa kutwa pamoja na ndugu wengine tukihangaikia dhamana!,aiseee tumehangaika sana na hatimaye tumemtoa ndani na imetutoka hela nzuri tu!,nimetoka huko mida ya saa 11 jioni ikabidi tena twende kumpeleka mama yake anakaa gongo la mboto.

Hivyo ndugu zangu siku yangu imeisha hivyo!.Unajua ndugu ni ndugu tu haijalishi kafanya nini ni lazima mtahangaika kwa alichokifanya!.

Halafu pia ndugu zangu kumbuka hiki kisa kifupi nilianza tu kukisumulia kwa niaba ya mafunzo,kuna muda nikiwa kijiweni nisipo kuwa na abiria basi huwa nakaa naandika,ila abiria wakiwa wengi napiga kazi then nikifika nyumbani naendelea,hivyo mniwe radhi!.

Mimi nawapenda na tutamaliza tu ndugu zangu maana bado episode mbili tatu hivi tumalize!

Hii nayo fungulia uzi baba Monica, JINSI MAPENZI YALIVYOTUTESA KWENYE DHAMANA

🤣🤣🤣🤣
 
Hii story ya UMUGHAKA naweza kuimalizia mimi yaani episode 5 leo kesho tena 5 nitakua nimemaliza afu kila mtu aendelee na biashara zake

Au mnasemaje
 
Hello ndugu zangu nisameheni sana!,leo nilipeleka chombo(pikipiki)kwa fundi tangu asubuhi,baada ya hapo nikaelekea Kituo cha polisi Gogoni huko luguruni mbezi ya kimara,kuna ndugu yangu mtoto wa shangazi alipigana jana wakati wanakunywa pombe kwenye baa moja huko mbezi sasa walifanya vurugu kubwa mno hatimaye mmiliki wa lile eneo akaita defenda ikamkamata,chanzo cha yote ni wanawake.
Sasa nimeshindwa kutwa pamoja na ndugu wengine tukihangaikia dhamana!,aiseee tumehangaika sana na hatimaye tumemtoa ndani na imetutoka hela nzuri tu!,nimetoka huko mida ya saa 11 jioni ikabidi tena twende kumpeleka mama yake anakaa gongo la mboto.

Hivyo ndugu zangu siku yangu imeisha hivyo!.Unajua ndugu ni ndugu tu haijalishi kafanya nini ni lazima mtahangaika kwa alichokifanya!.

Halafu pia ndugu zangu kumbuka hiki kisa kifupi nilianza tu kukisumulia kwa niaba ya mafunzo,kuna muda nikiwa kijiweni nisipo kuwa na abiria basi huwa nakaa naandika,ila abiria wakiwa wengi napiga kazi then nikifika nyumbani naendelea,hivyo mniwe radhi!.

Mimi nawapenda na tutamaliza tu ndugu zangu maana bado episode mbili tatu hivi tumalize!
Pole kwa changamoto.
Fanya yakupasayo kufanya relax then ukiwa free share your story comfortably.
 
Back
Top Bottom