Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Ivi kuna jamaa wanabisha kuhusu mwalimu kumchapa mwanae shuleni mnashangaza mtakua mmelelewa na wazee warembo sana mimi na chama langu nakumbuka tulipigwa fimbo za kutosha na baba wa rafiki angu mmoja na hatukua wanafunzi yani chai ilitembea siku ile tunaulizwa tuwapeleke polisi au tumalizane apa apa? Watu tukaona tumalizane tu pale school na msala ulikua wakitaa

Mmenikumbusha mbali sana aise tulichezea fimbo mpaka kuna time unaona haziumi ilikua ni mbele ya wanafunzi wote

Uzuri wa lile tukio nilitafuna mabinti wawili kwa huruma zao kuja kunipa pole... Ujanja wote tulishindwa kukimbia lile tukio sijui yule headmaster alituroga
..R.I.P teacher tumebaki tukisimuliana tu lile tukio
 
Barikiwa Umughaka
 
Mkuu umekaa kijijini usukumani au ukuryani?
Pili hapa kwa jamaa ni kijijini sana. Kiasi kwamba shule ina wanafunzi takribani 100 madarasa 4.

Vuta picha ya vijiji vya Kanda ya ziwa kwa miaka hiyo, perception ya watu husika kwa miaka hiyo. Based on my experience napenda kuthibitisha kuwa hoja za mtoa mada zina mashiko.

Naunga mkono kauli ya mtoa mada na ninaelekeza aendelee na stori.
 
Nina swali apo..

Ikitokea mtu kapelekwa shamba na hao wanga wakati akiendelea na kazi ikatokea emergence yoyote nyumbani kwake yakumfanya aamke inakuaje ? Je anatolewa site fasta au ndo haamki kabisa hadi atakaporudi? Kwako UMUGHAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…