goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Ssi kwetu huku tunawaita malayoni= umughakaUmughaka= Kijana ambaye hajabalehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ssi kwetu huku tunawaita malayoni= umughakaUmughaka= Kijana ambaye hajabalehe.
Naamini kipande hicho kitaletwa around saa mbili hv Za usku baada ya umughaka kwenda kupaki bike yakeNasubiria kwa hamu headmaster atachowafanya hao wachawi !!
Maarufu kama Karakana maana zamani lilikuwa Karakana 🙂🙂,😅😅😅 jamaa alitokomea kihanga, hivi rumanyika ndiyo bweni lile kama hall, wameweka vitanda? Afu kwa pembeni kushoto kuna vibweni vingine vidogo vidogo?
Jina lake mashuhuri nimelisahau hilo bweni ila nimejifunzia volleyball pale.
Kabla hajapost episode ya 18 na 19 alisema zilikua zimebaki episode mbilitatu so nahisi inayofuata itahitomisha!! Sina uhakika lakini!Naamini kipande hicho kitaletwa around saa mbili hv Za usku baada ya umughaka kwenda kupaki bike yake
😆😆😆 Yap, yap nimeishi hapo pia, huku kwa mbele ilipokuwa nyumba ya Malezi....Maarufu kama Karakana maana zamani lilikuwa Karakana 🙂🙂,
Mzee makono ndiye amebeba kichwa cha storiSehemu ya 20 ndiyo imebeba jina la story yetu.
Aliishi lakini?Hii ya kuamka tope nimewahi kushuhudia wakati nasoma Karagwe Secondary, kuna jamaa nilikuwa nalala jirani naye bweni moja linaitwa Rumanyika, ile kaamka asubuhi kwanza kwa kukurupuka, miguu imejaa tope sana, mashuka yamechafuka halafu akiwa mchovu. Jamaa alichomoka spidi akaruka fensi akatokomea porini. Hakuwahi kurudi tena shuleni hapo mpaka namaliza.
Nilikuja kusikia alikuwa akifanyiwa hivyo na nduguze wa karibu mara kwa mara.
Wachawi wabaya sana aisee yani wamehakikisha hadi shamba la jirani nalo linapaliliwa na mateka 😂... kilichofuata ni kuhamia eneo jingine ili kazi ya kulima iendelee!.
😅😅😅💥
na huenda ikawa ya mwishoSehemu ya 20 ndiyo imebeba jina la story yetu.
Me mwenyewe Sina mda wa kulalamikia vitu ambavyo ni kupita au kufikirika. Ni ujingaHuwa nawashangaa vijana wanalalamikia story utazani hawana kazi za kufanya,mi nikikuta story nasoma mtunzi asipoweka nakausha siku nikiikuta nasoma tena ,asipoiweka muda mrefu naisahau kama kulikuwa na story nafatilia maendelea kuperuzi vingine
Umepiga karaseko mzee, huyo hakunawa miguu baada ya kutoka organic akasingizia wachawi vp ticha malezi hakumtafutaHii ya kuamka tope nimewahi kushuhudia wakati nasoma Karagwe Secondary, kuna jamaa nilikuwa nalala jirani naye bweni moja linaitwa Rumanyika, ile kaamka asubuhi kwanza kwa kukurupuka, miguu imejaa tope sana, mashuka yamechafuka halafu akiwa mchovu. Jamaa alichomoka spidi akaruka fensi akatokomea porini. Hakuwahi kurudi tena shuleni hapo mpaka namaliza.
Nilikuja kusikia alikuwa akifanyiwa hivyo na nduguze wa karibu mara kwa mara.
Naaam, alikuwa ana tabia ya kutukurupusha wa kwanza kabla ya mabweni mengine😆😆😆 Yap, yap nimeishi hapo pia, huku kwa mbele ilipokuwa nyumba ya Malezi....
Hujaishi bush wewe alafu unaleta ujuaji bushi mkuu wa shule ni kama mkuu wa kituo cha polisi ndani ya school premises anatandika adi wazee wako na wanasema hewala babaHiyo ni case tofauti. Wabongo huwa hawajui hata ku reason wanakurupuka sana. Hakuna Mkuu wa Shule ambaye ataleta kesi ya mwanaye ambaye hasomi shuleni tena assembly kushirikisha wanafunzi.hakuna. msiogope kukosoa kwa kuwa jamaa atasusa kuleta story. Hawezi susa. Sema mtamsaidia anapotunga awe anazingatia uhalisia. Msiwe waoga kwa vitu vya kipuuzi.
Alienda kulimishwa huyo akarudishwa alfajiri, alivyoamka akakimbia mazima kama chizi. Walikuja mkuta porini huko na hakurudi mazima shule.Umepiga karaseko mzee, huyo hakubawa miguu baada ya kutoka organic akasingizia wachawi vp ticha malezi hakumtafuta
😂😂 sawa jirani😂,acha nipikwe kwanza,najua nikiiva vzr makono ntapambana nae angani hukoSikupatii picha ilivobaki dede misuli inavoumaaa😁😁!.
Uko targeted na mzee makono tuliza mshono uepushwe hatari kwanza Mbususu ipo tu☺️!
Huo ss uoga jirani😂😂,wenzio hapo tunakatiza na kichwa cha cherehani kichwani😁Nani akatize miembeni saivi thubutuuuu 🏃🏼♀️🏃🏼♀️! Nje tu sitokiii! 😁
Huo ss uoga jirani😂😂,wenzio hao tunakatiza na kichwa cha cherehani kichwaniNani akatize miembeni saivi thubutuuuu 🏃🏼♀️🏃🏼♀️! Nje tu sitokiii! 😁
Sio kuwazuia tu,mm nashauri tupate japo nafunzo ya ziada kidogo tuweze kuingia japo ndani na kutoka nje kwa kupitia ukutani km Monie😂mmash Story ikiisha itabidi Umughaka atupe mbinu za kuzuiaa wangaa/ wachawi/ watu wabayaa