Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Wachawi wangekua wanawachukua mawaziri kama Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Makamba, Dotto Biteko, Zungu, Mchengerwa, Kassim Majaliwa na mama yao Samia wanawalimisha heka 50 kila wiki. Hii nchi debe la mahindi lingekua elfu 8
 
Hii ya kuamka tope nimewahi kushuhudia wakati nasoma Karagwe Secondary, kuna jamaa nilikuwa nalala jirani naye bweni moja linaitwa Rumanyika, ile kaamka asubuhi kwanza kwa kukurupuka, miguu imejaa tope sana, mashuka yamechafuka halafu akiwa mchovu. Jamaa alichomoka spidi akaruka fensi akatokomea porini. Hakuwahi kurudi tena shuleni hapo mpaka namaliza.

Nilikuja kusikia alikuwa akifanyiwa hivyo na nduguze wa karibu mara kwa mara.
Aliishi lakini?
 
Huwa nawashangaa vijana wanalalamikia story utazani hawana kazi za kufanya,mi nikikuta story nasoma mtunzi asipoweka nakausha siku nikiikuta nasoma tena ,asipoiweka muda mrefu naisahau kama kulikuwa na story nafatilia maendelea kuperuzi vingine
Me mwenyewe Sina mda wa kulalamikia vitu ambavyo ni kupita au kufikirika. Ni ujinga
 
Hii ya kuamka tope nimewahi kushuhudia wakati nasoma Karagwe Secondary, kuna jamaa nilikuwa nalala jirani naye bweni moja linaitwa Rumanyika, ile kaamka asubuhi kwanza kwa kukurupuka, miguu imejaa tope sana, mashuka yamechafuka halafu akiwa mchovu. Jamaa alichomoka spidi akaruka fensi akatokomea porini. Hakuwahi kurudi tena shuleni hapo mpaka namaliza.

Nilikuja kusikia alikuwa akifanyiwa hivyo na nduguze wa karibu mara kwa mara.
Umepiga karaseko mzee, huyo hakunawa miguu baada ya kutoka organic akasingizia wachawi vp ticha malezi hakumtafuta
 
Hiyo ni case tofauti. Wabongo huwa hawajui hata ku reason wanakurupuka sana. Hakuna Mkuu wa Shule ambaye ataleta kesi ya mwanaye ambaye hasomi shuleni tena assembly kushirikisha wanafunzi.hakuna. msiogope kukosoa kwa kuwa jamaa atasusa kuleta story. Hawezi susa. Sema mtamsaidia anapotunga awe anazingatia uhalisia. Msiwe waoga kwa vitu vya kipuuzi.
Hujaishi bush wewe alafu unaleta ujuaji bushi mkuu wa shule ni kama mkuu wa kituo cha polisi ndani ya school premises anatandika adi wazee wako na wanasema hewala baba
 
Nani akatize miembeni saivi thubutuuuu 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️! Nje tu sitokiii! 😁
Huo ss uoga jirani😂😂,wenzio hao tunakatiza na kichwa cha cherehani kichwani
mmash Story ikiisha itabidi Umughaka atupe mbinu za kuzuiaa wangaa/ wachawi/ watu wabayaa
Sio kuwazuia tu,mm nashauri tupate japo nafunzo ya ziada kidogo tuweze kuingia japo ndani na kutoka nje kwa kupitia ukutani km Monie😂
 
Back
Top Bottom