Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Burka eka dola laki na 20...we uutakua unakaa burq ipi
Alfu kwani wew unadhani Ni lazm ninue kiwanja dola 120 laki ,hpn Kuna 40*30 = 45,000,000/= sas ukitaka nicheki pm nikuunganishe na gomba estate Kam burka upawezi mkuu ,nicheki nikutafutie gomba estate kaha au hamia maeneo yanye hadhi za diplomatic [emoji23]
 
Wachawi wangekua wanawachukua mawaziri kama Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Makamba, Dotto Biteko, Zungu, Mchengerwa, Kassim Majaliwa na mama yao Samia wanawalimisha heka 50 kila wiki. Hii nchi debe la mahindi lingekua elfu 8
Hahahaha
 
Huu Uzi nilisoma Episode ya kwanza tu niakaachana nao kwa sababu ni kama story ilikatishwa na hakutakua na muendelezo. Ndo maana watu waliponda sana.
Lakini nikawa nashangaa kila nikiingia jamii forum nakutana na kichwa cha hadithi yenyewe.
So nimesoma episode zote leoleo
 
very interesting.. usukumani ulikuwa sehem gani mtoa story
Sio simiyu iyo 😀😀aisee mungu kaniokoa sana nimekaa simiyu na nilivyokuwa mdogo nilikuwa mtundu sana na mdokozi, tumekula sana karanga, miwa na limbe( matango ya kisukuma) kwenye mashamba ya watu bila kurogwa, aisee usikute sa hivi ningekuwa mzukule maana simiyu sio poa
 
Nyie mazoba sana. Ndo maana mkija town mnauzia sidiria na blauzi. Sisi town mkuu wa shule unaweza hata usimjue yupo busy nasi tupo busy na masomo.shida ya vijijini ndo hiyo hata sungusungu au mgambo anawaendesha sana. Mjumbe wa mtaa naye anawaendesha basi mnajikuta tu kama mafala hamna mbele mna nyuma tu.
haiwezi tokea na haiji tokea kwamba mjini anzia shule ya msingi hadi A–level ushindwe mjua mwalimu mkuu.

ungesema vyuoni sawa ila kwa hatua za awali hadi kidato cha 6 lazima umfahamu mwalimu mkuu (sio ombi ni lazima kutokana na mazingira )
 
Endeleea.....

Basi bhana baada ya kuchukua ile miwa kwa Mzee Masumbuko kama kawaida yangu nikawa naelekea senta,kufika pale nikaiweka ile miwa na kuanza kukata kata zile pingili za miwa..aisee hakika siku hiyo ndo niliamini kua Mungu sio Mwigulu Nvchemba niliuza sana ile miwa watu wakawa wanaulizia hadi bei ya lile panga nililoazima kwa yule mama nikawa nawaambia haliuzwi[emoji3064]

Basi bhana nakumbuka siku hiyo miwa yote iliisha ndani ya lisaa limoja na nikarudisha panga kwa yule mama ili nirudi nyumbani,nakumbuka ilikua mida ya saa tatu asubuhi[emoji1]..nikapita njia ile ile ninayokutanaga na Mzee Makono basi bhana kama kawaida yangu kua nikitembea naangalia chini kama ngiri huku nikiwa na mawazo ya kumkosa mwise,nikakumbuka pia kua sikuiona timu ya yangu ya Arsenal kwa kipindi kirefu ukijumlisha na mauza uza niliyokua nakutana nayo nikabaki nasonya tu..

lakini ghafla nikiwa karibu na lile eneo lenye miembe miwili karibu na njia ya kuelekea nyumbani nikakuta watu watano wakiwa wamelala chini wakiwa kama walivyozaliwa,basi bwana kutokana na uzoefu,ukomavu na ubobevu wa masuala yale ya kutisha sikuogopa hata kidogo,nikawasogelea wale watu na hapo nikawa nimewatambua alikua ni Mzee Makono,Mama Mkwe,Monica na wale Mama zake wadogo wawili.


Nikiwa katika bumbuwazi ghafla nikashtushwa na sauti ya mwanamke akicheka ambayo niliitambua kua ni ya maza mdogo,kupepesa macho huku na huko nikamuona juu ya muembe akiwa katika ungo unaoelea angani,kipindi cha nyuma nilikua siamini hizi stori za watu kupaa na ungo angani kama nilivyokua namuona mama mdogo[emoji2297]

Basi bhana nikamuona mama mdogo akirusha kitu mithili ya moto na kile kitu kilivyonikaribia tu kikadunda kwa kasi ya ajabu kumrudia maza mdogo ndipo nikakumbuka ile kauli monica kua nina mizimu mikali sana[emoji1],kilikua ni kitendo cha sekunde moja tu wale watu wote wakapotea nikabaki nikishangaa pale kwenye ile miembe....fasta nikaanza safari ya kurudi nyumbani na kushangazwa na umati wa watu uliojaa pale nyumbani..Aisee nilivyofika sikuamini nilimkuta maza mdogo akiwa pale amedondoka na ule ungo akiwa kama alivyozaliwa.Kumbe bhana mama mdogo ndo kiongozi wa wale wachawi wote pale kijijini na baada ya Headmaster kusema atawakomesha wale wachawi mama mdogo alienda kuwaelekeza wale wachawi waache michezo yao lakini walimkatalia kwa kua walitaka mashamba yao yamalizwe ndipo ugomvi mkubwa ukazuka mpaka kuwaua wale wachawi wenzake pamoja na mpenzi wangu Monica na washirika wake pale miembeni[emoji24].

Aisee nilikua nina hasira sana ila sikutaka kuionesha mbele ya watu wale waliojaa pale,nikaingia ndani moja kwa moja nikamkuta emma kitandani akiwa amekauka (kumbe na alikua mshirikina ndiyo maana hata mambo mengi yaliyokua yakimtokea au kututokea pamoja alikua anayaficha) basi bhana nikatoka na shuka na kumfunika Maza mdogo na kuingia nae ndani huku watu wakiendelea kupungua kadri muda ulivyozidi kwenda.

Mida ya saa 11 jioni Headmaster alirudi akiwa na mganga mwingine lakini akiwa amesikia stori nyingi huko vijiji vya jirani kwa kile kilichotokea pale shuleni na kijijini kwa ujumla hakika yalikua ni maafa walikufa wachawi wengi sana karibia watu 100 katika kile kijiji walikua ni wachawi

alivyofika nilimuelezea yote yaliyotokea mchana akiwa na yule mganga akasikitika sana na kuniomba msamaha kwa yote aliyonifanyia,nakumbuka yule mganga akautoa ule mwili wa Emma na katika mazingira ya kushangaza akapotea ghafla tukabaki mimi,Headmester na yule mganga....Bamdogo akaniuliza tumfanyie nini huyu maza mdogo?? hakika nilikua nina uchungu sana kwanza wa kudharauliwa na watu wengi,kumkosa mtoto Mwise ambaye aliuteka sana moyo wangu,lakini pia kuondokewa na mpenzi wangu Monica ambaye alikua ananipa ndipo nilipomwambia bamdogo tumpige collabo (mtungo) mama mdogo

Basi bhana shughuli ilianza mida ya saa moja hakika nilimchakata sana maza mdogo kwa hasira sana nikawa nabenua kiuno chake na kupiga lile ta-call alilonisingia kua nilimshika basi bhana nilienda goli kama tano bila kupumzika na nakumbuka mbili nilipiga kwenye mbunye na tatu nikapiga kule alipokua anajichezea lulu diva na kuzimwagiemo[emoji23] then nikampisha na mganga nae afanye yake..

ilikua ni aibu n uchafu mwingi sana kwa maza mdogo na wiki ile ile alikunywa ile lotion yote aliyonituma kipindi kile alimeza na mchanganyiko wa dawa flan za vidonge ambao sikuutambua ila vilikua na rangi tofauti tofauti na huo ndo ulikua mwisho wa maza mdogo gwiji la wachawi aliyeuficha ushirikina wake kwa mgongo wa ufundi cherehani[emoji1]

Basi maisha yakaendelea kama zamani pale kwa headmaster nikiwa mimi na bamdogo tu nikawa nakula ile mikuku n mimaziwa mpaka nikairudisha ile nuru yangu kama zamani,na furaha yangu ilizidi zaidi baada ya kumpata mtoto mwise tena nilimkuta akiwa sild kabisa[emoji23][emoji119]...

MWISHO[emoji120]

Dah we Jamaa umenichekesha sana leo 🙌🙌🙌
 
Coffee lounge ni kwa wazungu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bei zao usipime
Mbna kawaida tu mkuu hata mdudu 13 unakula kill na bia Ni hz hz Bei 2000 labda kulala ndio garama ila 1a ndio gharama Sasa hyo Ni hotel mkuu
 
Back
Top Bottom