Utadhani imekua deni/kesi😁😁😁!!Uzuri ni kuwa humlipi,humchangii bando,hujui maisha yake hivo si vema kuanza kumsema vibaya ni vema ukashukuru kwa kidogo unachokipata.....sisi wanadamu ni wazuri wa kuona makosa tu lakini mafanikio hatuyazungumziii hivo msimpangie mleta uzi huu
Salama kipenzi changuUMUGHAKA umeakaje
Mara bamdogo kameza jembe, yaani ili tu.Hata mimi hili pia niliwahi kulisema, mtu akishaona watu wengi wanafatilia basi dharula zinaanza, mara mke wangu kajifungua mara sijui nini
Mnawahi wapi jamani wakati dereva bado ndio anakunywa supu halafu baadae kidogo ataenda kunyaMara bamdogo kameza jembe, yaani ili tu.
Basi ni balaaHawapumzikagi wale na ni watii kwa falme na kazi zao haswa
Pamoja na yote hayo lakini usilete kitu ambacho huwezi kukileta. Don't hunt something you can not killUzuri ni kuwa humlipi,humchangii bando,hujui maisha yake hivo si vema kuanza kumsema vibaya ni vema ukashukuru kwa kidogo unachokipata.....sisi wanadamu ni wazuri wa kuona makosa tu lakini mafanikio hatuyazungumziii hivo msimpangie mleta uzi huu
😂😂Salama kipenzi changu
Anaweza akawa yule aliyemuadhibu EmmaNawaza kama si yeye aliyemshika traako mamdogo ni nani sasa
Kisha wiva huyo! Na yule mama mdogo, ajiandae!Kila mnacho kifanya kuwaza tayari UMUGHAKA anakifahamu
Kwaio asifanye kazi ya kulisha familia yake na maendeleo yake ili akuburudishe wewe unayekaa home, ukisubiri chakula? Muda wote upo mtandaoni😠😠😠UMUGHAKA ungekua Dem ungeringa Sana.
Punguza jazba umwandikie kitu atakacho kielewaKqaio aaifanye kazi ya kulisha familia na maendeleo yake ili akuburudishe wewe unayekaa home, kisubiri chakula? Muda wote upo mtandaoni😠😠😠
Halafu cha kufurahisha, kuandika inachukua muda mreeeefu, lakini kusoma, unamaliza kwa sekunde chache tu!Kwaio asifanye kazi ya kulisha familia yake na maendeleo yake ili akuburudishe wewe unayekaa home, ukisubiri chakula? Muda wote upo mtandaoni[emoji34][emoji34][emoji34]
Mimi nikikuwa nakula mtoto wa ticha mkuu basi siku lilipobumburuka mimi nikakimbilia ka sister kijiji kingine huku nyuma ticha akamchapa mwanae AssemblyIvi kuna jamaa wanabisha kuhusu mwalimu kumchapa mwanae shuleni mnashangaza mtakua mmelelewa na wazee warembo sana mimi na chama langu nakumbuka tulipigwa fimbo za kutosha na baba wa rafiki angu mmoja na hatukua wanafunzi yani chai ilitembea siku ile tunaulizwa tuwapeleke polisi au tumalizane apa apa? Watu tukaona tumalizane tu pale school na msala ulikua wakitaa
Mmenikumbusha mbali sana aise tulichezea fimbo mpaka kuna time unaona haziumi ilikua ni mbele ya wanafunzi wote
Uzuri wa lile tukio nilitafuna mabinti wawili kwa huruma zao kuja kunipa pole... Ujanja wote tulishindwa kukimbia lile tukio sijui yule headmaster alituroga
..R.I.P teacher tumebaki tukisimuliana tu lile tukio